Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

How men change The Love Word: After 6 weeks: I looo-ve you, I love you, I love you! After 6 months: Of course, I love you. After 6 years: If I didn't...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa! Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Enyi wazazi angalien na familia zenu ona sasa kun familia hapa jirani imeleta kizaaza baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda kapata wapi hela...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Uongo ni kitu cha kawaida katika mapenzi.Hata Ibrahim kwenye biblia aliongopa kuwa, Sara si mkewe,ili kuepuka mfalme asimuue yeye na kumchukua mkewe mrembo awe wake.Hata hivyo imeandikwa waongo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto. Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo...
0 Reactions
133 Replies
10K Views
Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke)...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Katika website ya waynesthisandthat nimepata quote hii ambayo kwangu mimi hai'saund vizuri sana; .."Like Fish, Guests Begin Smelling After Three Days"...! Lakini pia, kwa waliosoma vitabu vya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Ni kweli kuwa inawezekana kujifunza kumpenda mtu (kimapenzi) hata kama kwa mara ya kwanza hukumpenda au hakuvutii? Ufanye nini au ni steps gani za kuzifuata?
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Kuna mada zimefanya nianzishe thread hii.... kuna mtu anaomba ushauri ati yeye na mdogo wake wanapendwa na mwanaume mmoja na wamekuwa wakimlia buku kumi kumi za vocha..... inaonekana hawawezi...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Just a simple smile, A soft caress, a sweet kiss Just a step away From unthinkable bliss When you kiss me when both the moment and the kiss feels perfect I'm looking into your eyes and feeling...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WANAWAKE wanaoishi katika makambi ya waathirika wa mafuriko Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wamesema wanahofu kubwa juu ya kuvunjika kwa ndoa zao kutokana na kutengwa na waume zao kwa muda mrefu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Sijui kama niite hii ni laana au baraka, mkosi au bahati. Lakini kwa vyoyote vile ilivyokuwa ilikuwa ni kheri na shari kwa wakati mmoja. Tangu utoto nilijua ya kuwa mwenyezi...
0 Reactions
168 Replies
50K Views
Kuna tukio nililiona jana: Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote; IMAGINE: ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau...
1 Reactions
343 Replies
23K Views
Vijana wawili wa nchini Msumbiji ambao walikamatwa wakifanya mapenzi na mbuzi wamefikishwa mahakamani lakini mmiliki wa mbuzi huyo anaitaka mahakama iamuru vijana hao walipe mahari na waozeshwe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
<</SPAN></SPAN> <</SPAN></SPAN> <1. Say it. When you say the words 'I Love You', they should carry with them the desire to show someone that you love them, not what you simply want to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
siku hizi majimama wanawapenda vijana why kama jimama huyu aliesema simuachi labda afe siwahi kuona hivi kwanini wanajamii inakuwa hivyo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom