Katika suala zima la kupambana na UKIMWI, kitu ambacho kimeendelea kuleta utata na mtafaruku mkubwa katika familia, ndoa na mahusiano mengi ni suala la kupima na kujua hali ya mhusika kama amepata...
My take on this: Knowledge is power, wamama kabla ya kuwatoa watoto wenu jaribuni kuomba ushauri wa kisheria. Kuna mashirika kama TAWLA wanatoa ushauri bureee! Pole sana mama Mbukwa.
False...
Rafiki yangu kaniomba ushauri,
juzi alitubu mbele ya mkewe na kuamua kuwa mkweli kuwa nje ya ndoa amezaa mtoto wa kiume akiwa ndani ya ndoa akamsihi mkewe amsamehe,mke alimsamehe wakakubaliana...
Kila mmoja anaweza kuwa maoni yake juu ya wivu, lakini naamni mtakubaliana nami kwamba, wivu katika mapenzi ni jambo lisilokwepeka hasa kwa sababu kubwa ya kuaminika inaonesha penzi lako la dhati...
Najua umekaa mkao wa kula kutaka kujua leo nimekuja na mada gani kuhusiana na kona yetu ya mahaba. Leo nataka kuongelea tabia mbaya za baadhi ya wanawake wanaotanguliza maslahi mbele kuliko upendo...
Hadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23.
kati yao...
Nazungumzia pete ya uchumba. Mchumba wako akitaka akusapraizi na pete siku flani, utapenda iwe kubwa au ndogo? Yaani uzito au mwonekano, sio ule ukubwa wa kulegea kidoleni au kubana sana, najua si...
Nanukuu
"Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja
nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba
tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha...
Same-sex marriage becomes legal in D.C.
March 3, 2010 | 7:24 am
Same-sex couples can start applying for marriage licenses in Washington.
At least 16 couples were waiting at a courthouse...
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.
Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado...
Tumsaidieni huyu dada jamani....
Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye...
Will I ever make love again? Four women reveal why their sex lives have simply fizzled out
Last updated at 11:06 PM on 23rd February 2010
A survey last week revealed that a quarter...
Jamani wifi yenu/shemeji yenu mashallah mungu anawez jalalia kupata member mwingine wa JF,Sasa alivyo ana miezi 7
Nimekutana na mwenzangu ambae tulipishana kidogo kuwatunngia mimba hawa wake zetu...
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho...
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.
>Awe...
Jana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana
Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town.
Kwa sababu nilikua najali maisha yangu...
Habari wana JF,
Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini...
kuna mkaka mmoja alimtogoza dada mmoja mwaka mmoja na nusu uliopita lkn huyo dada akamkatalia kistaarabu tu,sasa pamoja na muda mrefu kuwa umepita lkn huyo kaka kila siku anampigia huyu dada simu...
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga!
*****************************************************
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.