Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.
Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena...
UONGOZI wa Kanisa la Evangelistic Assembles Of God Tanzania Jimbo la Dodoma, limemsimamisha na kumfutia leseni ya huduma ya kiroho nchini mchungaji wake kutokana na kupatikana na hatia ya uzinzi...
Kwa wale ambao wako kwenye ndoa au mahusiano, kuna wakati mwenzi wako anakusimulia kuwa mtu fulani (ama unamfahamu au la) amemchokoza kwa kutaka wawe na mahusiano ya kimapenzi (amemtongoza). Kuna...
BBC presenter died 'as sex game went wrong': Colleague weeps as he lays a floral tribute
Last updated at 10:31 PM on 02nd March 2010
'Lovely guy': Kristian Digby at his home
A...
Mjomba Hana Lolote
Nina sehemu ya kuishi kwenye mwili, wakati mwingine naishi kwenye hotel inayoitwa damu; kila mmoja ananijua mimi ndiyo naitwa Kirusi mtoto wa UKIMWI, na nilizaliwa kwenye...
Ndugu wapendwa
Leo hii nimekuja kutoa Mawazo yangu kidogo jinsi ya kuokoa ndoa za watanzania,,, leo hii ndoa si kama wazee wetu walivyokuwa wakipendana kutoka moyoni,.... ndo zao leo hii zimejaa...
if you could only read her mind, she would say...
buy me a rose
call me from work
open the door for me, what would it hurt?
show me you love me by the look in your eyes
these are the little...
Jamani nimepita sehemu nikaulizwa hili swali na sababu
sina experience nalo nikaona nililete hapa kweza kupata msaaada
wale wanaume wanaotembelewa wanaitwa mashoga je wale wanaume wanaowatembelea...
Stop sexualising children, says David Cameron
Conservative leader David Cameron has called for an end to the "inappropriate sexualisation" of children.
Parents should be able to complain via...
Amini Uwezo Wake tu!
Kama kunyesha mvua siku ya harusi yako ni baraka basi hawa maharusi kutakuwa kulikuwa na mafuriko maana maharusi wanafanana, huwa sichoki kutazama hii picha.
Watafiti...
Jamani hivi kuchora tatoo sehemu za siri ni ujanja ama kuiga
utamaduni wa wenzetu,na mtu anasikia raha gani kufanya hivyo tena karibu na goli kabisa...
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1
Kulikoni zimekwisha? ama?
Makoo yamekauka yanahitaji...
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.
Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza...
Nipo kwenye daladala, naitazama saa ni saa 6 mchana, siku ya jumamozi wiki iliyopita yaani juzi tu. Nimekosa kiti nawajibika kusimama. Tupo abiria kadhaa mbao tumesimama kiasi ambacho tumebanana...
In my experience had noticed that majority of women like to say the word,"F*** me ,F*** me" repeatedly during sex.This is monotonous and boring.New words need to be invented to spice up the game.
let me quote one of the member's comment. ...
Hehehehe kuna jamaa etu akisha piga ulabu huwa anamtongoza mke wake lol,
swali langu... sasa mie na shangaa mtu asipo mtongoza mke wake/ au mme...
Jana nilikuwa napita karibu na bar fulani,nikasikia wimbo wa Jide wa Wanaume kama mabinti ukanikumbusha mbali.Nikatafakari sana na baadaye nikaja kugundua kuwa Lady Jaydee ameimba kitu cha ukweli...
Ili mapenzi yanoge, kuna wakati tu utalazimika kufanya kile anachopenda Mwandani wako japo kwa kujikosha.
Kuna Kaka mmoja toka Pemba alioa mke huku Bara, Mpemba alianza kunywa pombe lakini...