Hello wana JF,
Happy new yr,
Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa...
...Kwa nini Mungu ametuagiza "Mtu mme awe na mke wake mwemyewe na mtu mke awe na mme wake mwenyewe?" Kwa nini Mungu aliagiza hayo? nini umuhimu wa ndoa? Unadhani kwa kusema hivyo ulifikiri...
Jana nimepata email ya rafiki yangu anaomba ushauri wangu eti anamhisi mkewe anatembea nje ya ndoa.
Anasema wao kwenye ndoa yao kila mtu ana uhuru wa kushika na hata kutumia simu ya mwenzie...
WASANII maarufu wa nchini Nigeria, Aki na Ukwa wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la watoto yatima, na wale wanaoishi katika mazingira magumu Februari 14 mwaka huu.
Akizungumzia tamasha hilo...
A businessman met a beautiful girl and agreed to spend the afternoon with her for $500. They did their thing, and, before he left, he told her that he did not have any cash with him, but he would...
Saudi Journalist: Why Is Polygamy Only for Men?
On December 11, 2009, Saudi journalist Nadine Al-Budair, a presenter on the Arabic-language American TV channel Al-Hurra, published a satirical...
Relax! Baby gorilla takes time out from aping around
Last updated at 12:29 PM on 03rd February 2010
It's a hard life for some .... but evidently not this baby gorilla as she relaxes in an...
Kakutwa mtu na pingu
Sasa yazua majungu
Imeleta kiwingu
Polisi waja na rungu
Kumbe pingu ya mapenzi!!-Polisi wamechemsha!
Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa...
FAUSTINE KAPAMA
A Dar es Salaam woman, Ms Gwantwa Timoth Mwasyebule, has sued the pastor of Evangelical Lutheran Church of Tanzania, Rev.
Steven Maokola, of Magomeni Mviringo Parish, demanding...
kiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo. kipindi hicho damu inachemka kwa sana. akashika mimba na wala hakuniambia mimba ni yangu...
Busu hili busu gani,
Busu la kurumagia,
Uzuri wake ni nini,
Kavukavu kubusia?
Tonge kulishikilia
Mchuzi ninyimwani
Nabaki kutamania
Kama samaki pichani?
Unaponipa chakula
Nipe na mchuzi pia...
Kwa wale wote marafiki wa Geoff bwana harusi wetu wa JF kwa mwezi huu wa February: Kama mnavyoona siku ndo zimesonga mbele na zazidi kusonga tumebaki na less than two weeks from today mambo yaive...
Hii wana JF
Umri wa kuoa ndio umewadia ila story za maisha ya ndoa ninavyosikia nakata tamaa kabisa ya kuoa. Nimeona wengi wanatoka nje ya ndoa wake kwa waume, cha ajabu ni kwamba watu kibao...
Kuna rafiki yangu wa karibu, ambaye anataka kuoa, lakini majuzi aliniomba ushauri kama ndoa yake itakuwa salama iwapo yeye si "Fisrt Lover" wa mchumba wake! Anakuwa na wasiwasi kwa kuwa amewahi...
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa...
There is a melody in my heart!
A song rupturing in my soul
The sound of my want
A ringing of my call
To the one that loves me
To her alone I sing; there is a melody in my heart!
I said,
There is...
Hi wana forum.
Asante kwa ushauri wenu.
Nimeamuwa kuachana na hii kitu.
Samahani wana forum wote.
Lakini hii software inaweza kutumika for home intelligence kwa hajili ya kumonita watoto...
Ni kawaida kwa wapenzi kuitana majina matamu matamu kama sweetie, honey, sugar, darling, etc. Mapenzi yakikolea na wapenzi kufikia hatua ya uchumba mbwembwe huongezeka. Kwa wengi wetu baada ya...
................
Yule mama: wanafundisha hivyo kwa sababu ndivyo ilivyo…….tena wanaume mna nafuu, mnateseka kipindi kifupi tu wakati wa kutafuta, lakini mkipata mnarelax kufurahia...