Jana katika pitapita nikakutana na hii
Hii ni mashine ya kununulia condom...kinachofanyika unaweka hela kama Tsh 100 hivi kwa juu kuna kitobo cha kuingizia pesa unazungusha kitufe fulani halafu...
Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil...
Jana rafiki yangu, niliyesoma naye kijijini, amekuja na mchumba wake kunitembelea.
Kabla hajafika alinipigia kuniambia kuwa mchumba ni bikra, anasubiri mpaka "wedding night" na nikampa hongera...
Wakuu naomba mnichangie mawazo ya kumpatia ushauri muafaka rafiki yangu. Ni hivi, kuna jamaa ni rafiki yangu wa karibu sana (almost ndugu). Tumesaidiana kwa mambo mengi na kwa muda mrefu sana. Kwa...
Wazee wenyewe, katika stori wengi tunaamini kwamba ukimfumania mtu anachukua mali zako nguvu zinamwishia. Hata kama ni Sylvester Stallone (Rambo) unaweza kumkaba koo na ukampa vibao vya kutosha...
The jumbo jet is just coming into Pearson Airport (Toronto) on
its final approach. The pilot comes on over the intercom.
"This is Capt Johnson. We're on our final descent into Toronto. I
want to...
Sasa umeolewa na una mme unayesema unampenda. Tumekutana baada ya miaka hii yote. Tulikuwa marafiki wa karibu hadi watu "walidhania". Sasa tumekutana unanilaumu.. kwanini sikukuomba moyo wako...
ni ndoa chache zenye uwezo wa kuishi bila mitafaruku ya ajabu katika kipindi chote cha kuwa wawili. vipindi vya mapenzi na uchumba huwa tofauti na kipindi cha kuwa ndani ya ndoa. watu husema mengi...
A wife said desperately to her husband:
Hello Honey!! Where are u??"
The Husband answered confidently: "What!!
Where am I???...
In the office of course!!"
Wife:
"Are you sure you are at...
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya...
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema...
UMUHIMU WA KITCHEN PARTIES NI KWA MABINTI TU?
Ndugu zangu kwa muda sasa nimekuwa ninajiuliza. Hivi hizi Kitchen parties wanazofanyiwa mabinti siku chache kabla ya kuolewa zinawasaidia kweli hao...
Hivi karibuni tulikutana na Mtaalamu mmoja kutoka Cuba. Alitueleza kwamba huko kwao VVU na Ukimwi siyo tatizo kwa sababu mfumo wao afya unafuatilia kila mtu na kama kuna mgonjwa anashughulikiwa...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
MDOLI wa kwanza mkubwa wa kike na wenye umbo kamili kama la binadamu (robot) unaojulikana kama rafiki wa kike umezinduliwa nchini Marekani ambao ni bora zaidi kuliko iliyowahi kutengenezwa huko...
Hamjambo ndugu zanguni za JF?? za masiku kaka na dada zangu??? Niliwamiss kweli katika kipindi hiki kifupi ambacho sikuweza kuwa jamvini kwa sababu za ugonjwa. Lakini nimerudi mzima wa afya kwa...
The perils of young Egyptians' secret marriages
Young couples are trying to find ways around Egypt's conservative attitudes to sex before marriage
By Yolande Knell
BBC News, Cairo
In...