Inasemekana wasichana wa mijini wanadanganyika zaidi kwa magari. Msichana anakubali kuwa na uhusianao na mwanaume kwa sababu amegundua kwamba ana gari, hata kama anajua kwamba hilo gari sio la...
BeautifulPeople.com axes holiday weight gain members
The site is unabashed about its selection criteria
Dating and social network site BeautifulPeople.com has axed some 5,000 members...
Heri ya Mwaka Mpya wapendwa!
Naona sasa huku kupita pita kwangu kwenye majumba ya watu kutanitokea puani. Nimekumbuka mwishoni mwa mwaka jana kulikuwa na mada nzuri ya whether its necessary kwa...
There is a "lack of awareness" over condom sizes
A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of...
wapwazi na mabinamuz ninataka kufahamu nani mkali kati ya uswazi na bush. uswazi wamesifiwa sana according to nguli's sredi je na wale wa bush ambao ukikaa vibaya viatu unavikuta kwenye friji...
ukitazama yale mambo yaleee utawakuta wengi kweli kwenye 'niche' yao. kwa hapa bongo kweli hawa watu wapo kiivyo? wanajichanganya vipi na jamii zao? if by chance 'ukakutana' nae, what will you do
wapwazzzz salaam!!,
napenda kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya mwaka mpya 2010!.
MENGI NIMEJIFUNZA kwa muda mfupi hapa JF, mkuu FIDEL uko juu haswa kwenye kuoganaizi get tugeza!, hii...
The majority of us lead quiet, unheralded lives as we pass through this world. There will most likely be no parades for us, no monuments created in our honor. But that does not lessen our possible...
Nimekua najiuliza swali moja ambalo sina jibu lake naomba maoni yenu.
Uko na mwenzi wako wa ndoa na mnaishi vizuri kama wanandoa na japo mnakua na Ups na Downs za hapa na pale ingawa siyo...
What an anti-climax: After 60 years scientists claim to have proved the G-spot doesn't exist
Last updated at 11:52 AM on 03rd January 2010
For decades, hapless men have been...
Polygamy for all
A Saudi journalist is demanding that women be given the right to four husbands. Maybe she has a point
Khaled Diab
guardian.co.uk, Saturday 2 January 2010 16.00 GMT
They...
Nimekuwa nikifikiri sana jinsi ambavyo ndoa tulizo nazo siku hizi zilivyo na matatizo lukuki. Ingawa ndoa na sherehe zake siku hizi ni aghali sana ukilinganisha na za zamani lakini bado hazina...
Tumetoka mbali
Nlidhani tutafika mbali
Lakini kumbe najidanganyaaa
Waweza nieleza
Wapi nilikosea
Maneno yako yanichanganyaaa
Nilikukubali Hukunijali
Nilikupenda Ukanitenda
Hata kama marafiki ...
Married Malawian gay couple face test to prove they had sexual relations
Gay rights campaigners react angrily to men's treatment by court and say homophobia is sweeping Africa...
nimeona thread moja inayohusu pete ya uchumba na imenikumbusha kisa nilichowahi kusuluhisha cha wanandoa kulani waliotaka kuachana, nimeona niwamegee kidogo. kisa chenyewe ni hiki:
yalikuwepo...
Kwani tatizo hili limeanza kuwa kubwa sana na vilevile limeanza kuleta athari kubwa sana kwa jamii mwanzoni nilidhania wa kulaumu ni historia ya nchi lakini sasa nimejua...
Heeeey here we are, gelukkige nuwe jaar,godt nytar, bonne annee, manigong bagong taon, feliz ano nuevo, buon anno, frohes neues jahr, ake mashi te omedeto,and to finish koambara washiki na wasacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.