jamani wanandoa;ma dk tusaidiane kwa hili
tangu mke wangu ashike mimba amekuwa akitema sana mate
tangu na mie nijue hili kila saa natema mate nimepima minyoo mara 30 hakuna;kwenye hasira usipime...
Nina demu wangu niko nae kwa mwaka wa pili sasa. siku za karibuni amenijia na suala jipya kiasi ananichanganya. Ni mara ya tatu sasa kila ninapotaka kummega anadai hajisikii hamu, mwanzo nilidhani...
Juzijuzi pale Mlimani city nilikuwa na washkaji wawili,mshkaji mmoja alimuona binti mzuri,mzuri saana yaani mweupeeee ngozi haijakwaruzwa hata kidogo,figure imeenda shule mtembeo wake unaleta raha...
wapo wanaootaabika kwenye ndoa bila kujua tatizo nini
wapo wanaofikiri waume zao wamelogwa na wachawi jinsi walivyooana na jinso maisha wanavyoishi sasa ni tofauti kabisa,wapo wenye akili zao...
New Year's resolution: Have more sex
By Elizabeth Cohen, CNN Senior Medical Correspondent
January 7, 2010 8:46 a.m. EST
Sadie Nardini and her husband decided to have sex every day in December...
A proposed anti-gay law could make Uganda perhaps the most dangerous place for homosexuals and drive the gays of Uganda further underground. In a rare interview, the first of its kind with a...
Leo ni siku ya wanawake wasio na bikira duniani;kauli mbiu ni
"JUTIA BIKIRA YAKO" uliyoipoteza muheshimu sana alieitoa na umkumbuke kama mlishaachana'kwanza amekufanya mkubwa na amekusaidia...
Hakika tunampenda sana binti yetu wa miaka mitatu(3). Karibia kila mtu akimuona ana msifie kuwa ni binti mzuri sanaaa wa sura (cutie) . Kwa kuwa rafiki yangu mmoja aliwahi kulieleza madhara ya...
Jamani jamani hali ni mbaya!
Kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye anadai wanapendana sana! Kuna kipindi walitaka kuoana na alipotaka kumtambulisha nyumbani kwao mama mzazi wa kijana alipinga na...
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift...
Zamani walisema watu wa mashariki ya kati wamekubuhu kwa mchezo huo wa mapepo.
Sasa watu wa magharibi wameruhusu hadi ndoa za jinsia moja.
Dini za mashariki ya kati zinajulikana, na zile magharibi...
Kwa muda mrefu nimechunguza sana juu ya uhusiano wa MAVAZI na MAPENZI(LOVE).Nimegundua wapendanao wengi wa kiume na kike hupenda sana kuvaa mavazi yanaleta mvuto kwa namna moja au nyingine,na hili...
Nyamayao naomba unisamehe but nimepata wazo toka kwenye post yako moja- Je wapwa mnasemaje juu ya adhabu ya kunyimwa gemu!! Hapana tusiite adhabu bali kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf...
...Low self-esteem!
...Katika maisha ya mapenzi na ndoa mjihadhari sana na masimango ambayo yatampelekea mtu ajione kumbe yeye si lolote si chochote kwako.
...mtu aliye suffer low-self esteem...
Nimekuwa kwenye relationship ya up and down na nimeteswa kinoma. Tumezaa mtoto na huyu mwanamume lakini alivyosikia mi mja mzito akaanza kuwatongoza wanawake wengine na nikasikia anafunga ndoa...
Habari jamani, Kuna jambo moja binafsi linanisumbua akili yangu saana, Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua kuwa Maeneo ya pwani, namaanisha Tanga, Dar, Mombasa, Kuna tabia ambayo siyo nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.