Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana
huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako "...
----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya...
Nina ex-wife ambaye kwa mda mrefu mawasiliano yetu tunafanya kwa ajili ya mtoto wetu mpendwa ambaye anaishi nae yeye. Zaidi ya hapo akinipijia labda kwa shari tu ila hatuna mawasiliano zaidi ya...
Hivi katika hii ishu ya mapenzi, mbona akina dada wanatumia zaidi Limbwata ili wapendwe(kuwapumbaza) zaidi na wanaume na sijawahi kusikia Limbwata kwa ajili ya wanaume kuwapumbaza wanawake. Na...
Defriending can bruise your 'digital ego'
By Breeanna Hare, CNN
October 30, 2009 9:11 a.m. EDT
Have you been defriended on Facebook? Experts say our reaction to rejection online is similar...
Hivi huwa tunapata waume na wake zetu ambao kweli ni sehemu ya mbavu zetu na nyama zetu? Nauliza hivi kutokana na mikasa iliyopo kwenye ndoa kama vile kudundana/kupigana; kuvunjika kwa ndoa...
On choosing the perfect man
"Cute's good, but cute only lasts for so long....and then it's who are you as a person? Don't look at the bank book or the title. Look at the heart and soul...When...
Wana Jf tusaidiane katika hili,hivi inakuwaje unakuta mama anam-miminia mtoto wake matusi mazito mazito,bila kujali nani yuko hapo na anasikia hayo anayomwambia mtoto wake,mada ya jana ya Calnde...
JF kuna mbaba amefiwa na mwenzake some 2 years ago..ana watoto wakubwa age between 12-16 (three of them), wanamkataza huyo mbaba asioe...alipojaribu kuwa-introduce hiyo issue watoto hawataki...
Inatokea umeingia katika restaurant, club ama sehemu yeyote ya public na uko mwenyewe tu,ghafla anaingia binti mrembo/kijana mtanashati naye yupo single(hajaambatana na yeyote).Moyo unakulipuka,na...
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta...
Mate debate: Is monogamy realistic?
By A. Pawlowski, CNN
October 28, 2009 1:36 p.m. EDT
Actors Sienna Miller and Jude Law were engaged when he had an affair with a nanny who tended to one...
Kuna article hii kutoka dailymail la Uk kuwa ukioa Mwanamke uliyepishana naye miaka zaidi ya 5 na kuendelea ndoa yenu itadumu. Je ni kweli kwa jamii yetu ???
Tuijadili
Why it pays to have a...
...hivi,
inakuaje mtu anakubali kudhalilika na kunyanyasika kisa
mapenzi.Ni kweli hawezi kula, kulala wala maisha bila huyo mtu?
au ni false hopes kwamba atabadilika tabia?
...Unakuta...
habari za hapa wanaukumbi , nimepata kijiproject kidogo cha kufanya utafiti wa sumu ya ndoa na nikaona nije hapa jamvini kupata vijisentensi kadhaa.
ningeomba kila post iwe na ujumbe ndani ya...
Wanaume ni viongozi nje na ndani ya nyumba si ndiyo?
Kiongozi anaangaliwa na waongozwa kama kioo na dira ya kila kitu.
Katika setting ya nyumbani/familia wanaume aghalabu hujichukulia kama ni...
Nahitaji mawazo how to deal with a male collegue Ive been working with for 5 years.He is married with 2 kids.Wa mwisho anamiezi michache yule mwingine ananza skuli.Bibi ni housewife.Huyu mwenzangu...
Nimekuta habari hizi zimenisikitisha kiasi najiuliza maswali mengi bila ya kupata majibu, i lakini kuna swali moja bado limebaki najiuliza hadi hivi sasa Binafsi sijawahi kufika Bara nasikia tu...
Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.