Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na...
Ningependa kujua hapahapa janvini, wewe uwe mwanaume au mwanamke, ungependa kuwa na watoto wangapi katika familia yako kama hujaanza kuzaa au kama unaeye mmoja tayari. Jibu baada ya kuangalia...
Ni jioni, tumepumzika, na mpenzi wangu, mke wangu,katoto ketu ka miaka nane katundu kweli. Basi kanaleta utundu wake, nakafokea, kanazidi, nikakasirika na kukaambia 'we mbona mtudu hivyo...
Unafanya kazi pamoja na mke wa Bosi , mara kwa anakukueleza how much she want your body ,ukawa unarusha na kutowa vijisababu , siku moja mupo ofisini peke yenu akakuvamia maungoni katika...
Mchumba asiye mwaminifu huwa mwenye ndoa asiyemwaminifu!
Swali:
Habari za kazi kaka naomba nisaidie naangamia kwa kuwa na mawazo yasiyo na msingi na kuumiza afya yangu, kweli nateseka mno...
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??
Quote"...
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwenye hili, kuna mchumba wangu jana kanipigia simu na kunifahamisha matokeo yake ya kidato cha 6 kuwa amepata I point 9. sasa nilimwambia akipata hiyo nitampa...
Bulgarian girl, 11, gives birth to her daughter... on her wedding day
Last updated at 9:38 PM on 02nd November 2009
An 11-year-old girl became one of the world's youngest mothers -...
...pamoja na ujanja wote anaoujua mwanaume, Mwanamke ni zaidi linapokuja suala la 'kuzidiana akili'...kwenye maisha ya urafiki, mapenzi na ndoa.
Unakubali au unakataa msemo huu? Kivipi?
Jadili...
Kwa wale walio miss kikao cha jana msiwe na kinyongo wapwa wana andaa get tugedha ingine tunawakaribishana wana jamvi mnaweza kuwasiliana na ZD,Nguli , Chrspin, Carmel, Geoff, Yo Yo hata mm...
The wife came home from work early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman. Understandably, she was somewhat upset. "You are a disrespectful pig!" she...
A debate has been raging this past week in the UK, about the role of men in the delivery room during childbirth. Some obstetricians suggest that men should be kept well away from delivery rooms as...
Leo ninataka kuileta mada ya jinsi wanawake huwa wanakuwa madiva wanapopewa cheo kazini ama kukuwa celeb in the music,media or business world.Nimewasikia wanaume wengi wakicomplain bibi amekuwa...
Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa...
ni usiku mkubwa, ghafla nilishtushwa na ndoto mbaya kichwani mwangu, niligeuka kulia na kushoto kutafuta usingizi lakini kwa bahati mbaya nilishindwa. nilielekea jikoni kupata kikombe cha chai na...
hivi utamjuaje mwanamke ambaye umeanzisha nae mahusiano kuwa
ni taxi bubu?i mean ni prostitute wa siri? sasa hizi tips za kujua
1.weekend yuko bize.
mwanamke akiwa ni taxi bubu,mara zote...
Nilikuwa namtazama celina kombani
kwenye tv akizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa
nikawa najiuliza is she married????
I mean wanawake wabunge na mawaziri ambao ni
single au dirvoced,ni...
Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.