Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaogopa Ukimwi sana kuliko mimba na ni wapi wanaogopa mimba sana kuliko Ukimwi? Hasa kwenye mahusiano ambayo bado hayajawa kwenye mfumo wa ndoa.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mambo vipi wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo cha mwanaume kingekuwa kama kifutio je ni wangapi wangekuwa na hivyo vifutio mpaka sasa toka wabarehe.nawakilisha kwa pamoja tujadili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna aina tofauti! Aina za tendo la ndoa Kuna wakati wanandoa hujikuta wanahitaji kuwa na tendo la ndoa ambalo ni perfect, kama tetemeko la ardhi, kama fireworks na kufika kileleni kwa mpigo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari jamani...Nadhani hapa nitapata majibu mazuri na ya maana kuhusu hili swala.....Problem ni kwamba hapa nilipo nina demu wa kigambia ambaye nilikutana nae hapa ninapoishi,kukutana...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Stay married if you want kids By Leah Ward Sears, Special to CNN November 10, 2009 9:39 a.m. EST STORY HIGHLIGHTS Leah Ward Sears: Couples unwilling to make commitment to rewarding...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu bila shaka wengi mwafahamu niko kwenye msako wa kutafuta mwenza na nilishatoa sifa naona watu wamegoma kunisaidia. Sasa nimefanikiwa kupata kademu kamoja MATATA SANA! Shida huyo ni...
0 Reactions
169 Replies
16K Views
...mnh, Mwenzenu 'mshamba!' Hizi social networking mbona ni kasheshe wajameni!...Facebook, Hi5, Twitter sijui Bebo nk... Utakuta wanoalalama kwanini 'rafiki' anataka kum- add tena baada ya kum-...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
mabinamu na wapwa salaam!, nimekuja kivingine sio kama GP wa juzi, sasa ni GP mpya. ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'Chrispin wewe ni handsome sana...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Mapenzi ni mamlaka huru ya hisia, mtu kwa ridhaa yake kudondosha moyo kwa yule aliyemhusudu. Ni vema kugundua mapema kwamba uliyenaye si wa maisha yako kuliko kuanza safari itakayokutia jakamoyo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara...
0 Reactions
151 Replies
13K Views
Je, wanandoa wote tungekuwa tupo makini (maombi) mara zote kiasi hiki ingekuwaje? Mzuri kitandani? Tunapooana kama wanandoa tunakubaliana kwamba tutakuwa tunafanya tendo la ndoa sisi wawili tu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
British couple are oldest in the world to divorce at age 98 - but man dies before he can enjoy the single life By Luke Salkeld A British man and his wife have become the oldest couple in the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eti Sivutiwi! Wakati mwingine Inashangaza sana jinsi wanawake wanavyowawekea kiwango cha chini wanaume kuhusiana na hamu yao ya tendo la ndoa. Hawajafahamu mwanaume kupewa zawadi ya tendo la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unaweza kupata kitumbua mara moja kwa wiki kutoka kwa my wife wako na mwenye kitumbua anafeel satisfied na anajua ww satisfaction nehii. Kama ni wewe utafanyaje?
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Ni kubusu tu! Usiweke kiwango cha chini kumbusu mume wako au mke wako. Hakikisha unambusu kila siku kabla ya kuagana asubuhi, muda wowote mchana na kabla ya kulala usiku hata usiku wa maneno...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Kulala vizuri ni kuwa sexy! Pumzika Wanawake ambao hujimyima usingizi hawapo sexy, hivyo kabla ya kufikiria kuwa na maisha mazuri ya kimapenzi na mke wako au mume wako zingatia kwanza kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eti Kulala Pamoja si Afya! Tafiti za karibuni zinaonesha kwamba wanandoa kulala kitanda kimoja si afya kama kila mwanandoa yaani mke na mume kulala kila mmoja kitandani chake mwenyewe. Kitendo...
0 Reactions
90 Replies
11K Views
Msaada kwenye tuta. Jana Lunch time nilikua naongea na dada mmoja mfanya kazi mwenzangu ofisini ambae alinieleza kuwa anashangazwa sana na tabia ya wanaume ya ku-cheat katika relationship...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
How do you know women? click below;
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom