habari za jioni wana blog ya jamii, nipo hapa kuomba msaada kuna kitu kina nisumbua mimi niko na demu ambaye ni mchumba wangu ila tatizo ni kwamba tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo...
Jamani naomba mawazo na michango yenu kuhusu suala zima la picha za Pornoghraphy. Katika kukutana na watu mbalimbali nimekutana na wale wanaozipinga picha hizi kuwa hazifai na wengine wanasema ni...
Jalia Unamuhudumia kila anachokitaka kutoka A to Z ikatokea siku moja ukagunduwa kuna mtu anachovya asali uitunzayo ,katika kukabiliana nae mpenzi wako ili ujuwe ni kitu gani kilichomfanya...
Siku moja katika blog fulani kulikuwa na mjadala mkali sana kuwa dada zetu wa kibongo (walioko mtoni/majuu) wanajiachia sana kwa watu wa afrika Magharibi ambao (wawest) huja kuwatosa vibaya sana...
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya...
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje yandoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia. Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi...
kila siku huwa najiuliza....mbona siku hizi watu hawachungi dada zao?????
yaani sisikii wala kuona watu wakichunga dada zao,,,,,,
na mara nyingi imenitokea nakutana na wasichana mbalimbali
ambao...
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..??
katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye...
Tunatofautiana muda!
Wanaume wengi huamini kwamba jinsi wao walivyo tayari kwa tendo la ndoa na jinsi wanavyohitaji tendo la ndoa basi na mwanamke naye yupo hivyo.
Kama tulivyoangalia huko...
45 things a girl wants but wont ask for:
1. Touch her waist.
2. Actually talk to her.
3. Share secrets with her.
4. Give her your jacket.
5. Kiss her slowly.
Are you remembering this?
6. Hug...
jamani wana jamii naombeni msaada wenu wa dhati kabisa. nilikuwa na mchumba mtarajiwa kabisa wa kuwa mume wangu, tumekuwa kwenye urafiki kwa mwaka na nusu sasa, nimeenda kwa wazazi wake na nduguze...
HOW TO END RELATIONSHIP
Don't text or leave a message on an answer machine
Don't end the relationship during a telephone conversation
Don't let someone else pass the message on
Don't...
Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa...
Inashangaza mno!
Training: How to cuddle
http://www.oc-cuddle.com Wanaume wengi huwa hawaoni umuhimu wa kuwabembeleza wake zao kwa kuwakumbatia, pakata (cuddle, hold, touch), busu, shikashika...
Usikimbie tatizo!
Dunia tunayoishi huwezi kukwepa kukutana na tatizo au shida au mkwara au majaribu au mateso au ugumu wa maisha eneo lolote.
Hata hivyo linapokuja suala la ndoa au mahusiano...
Kwanza kabisa nianze kwa kusema Shikamooni nikiamini wengi wa member ni watu wazima na wenye heshima na familia zao. Mimi bado ni kijana wa miaka 21 na nipo chuo kikuu mwaka wa pili. Nisirefushe...
A UPDF officer in Bushenyi District, Uganda stunned residents when he handed over his wife to the Police after discovering that she had reportedly given money he has sent to her to another man...
Ndoa ya jinsia moja imesababisha mwanaume ajiue baada ya kukimbiwa na "Mkewe" (Mwanaume mwenzie, shoga) ambaye baadae alianza mapenzi na mwanaume mwingine.
Mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.