Mimi ndimi mke anayelalamikiwa katika thread iliyotolewa mapema leo.
Nimelazimika kutoa maoni yangu kwa PI, baada ya mume wngu kuniambia kusoma comments za watu kuhusu maisha yetu.
Kwanza kuna...
Wanafaa sana!
Je, umechoka kusikia kuhusiana na tofauti kati ya mwanamke na mwanaume?
Ni kweli mwanaume na mwanamke wapo tofauti sana na hakuna mjadala kuhusu hili.
Wote mwanaume na...
Nilimwambia sikuwa na tatizo la kwenda kwao isipokuwa aniwezeshe kimaisha ili nami niwe na maisha mazuri, akaniambia jambo hilo liliwezekana nisiwe na wasiwasi.
Maimuna aliniambia licha ya kuwa...
Je mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini na tano ambaye ameishi maisha ya utulivu, kalea wanawe wamekuwa, yupo stable economically anaweza kupata mwezi wa kuzeeka naye mwenye mahitaji sawa na...
Chunga sana........ Fedha!
Linapokuaja sula la fedha, kwa ndoa mpya wakati mwingine fedha ni kama mtungi wa gas ambao unasubiri kushika moto na kuwaka siku mambo yakiwa ovyo.
Kwenye ndoa...
WanaJF nambieni,
Kuna makatazo gani yaliyobaki kwa sasa kwenye suala la tendo la ndoa?
Mi binafsi naona kama vile taboos zote zimeshakuwa crossed, na watu wanajiendea tu, kama kondoo wasio na...
Imetokea katika baadhi ya familia pale mama kujiuliza kama mwanae yupo kamili kimaswala pale anapoona mwanaye wa kiume hadi kufikia miaka 20 yupo yupo, hana mazoea na mabinti wala hata haonesha...
Kitchen party ni biashara kubwa sana kadri miaka inavyoenda.Nielewavyo mimi KP ( kufundwa bi harusi) huko nyuma,makabila mbalimbali yalitumia siku chache kabla y aharusi kukaa na bi harusi...
Hallo Wanajamii!
Kuna kitu huwa najiuliza mara nyingi
-Wakati Wa FUMANIZI Tuseme umemfumania mke/mme wako Au tuseme tu Girl/Boyfriend kuna kitu huwa nashangaa: Kwa nini mgoni ndiye huwa...
Rafiki yangu mama moja ambaye ameenda retire alipatwa na masaibu baada ya kumpigia one of her former male collegue young enough to be her son akitafuta biashara.Alipoenda yule jamaa jioni home...
Wifestyles of the rich and famous
Too wealthy to find their own mate? Someone else can do that!
Last Updated: 8th October 2009, 3:27am
Connections of the heart can be had for a price...
Mke ni bidhaa hadi atafutwe kama vile ni kuku au ng'ombe?
Nimekuwa nasikia watu hasa wanaume wakiomba watafutiwe wake na dada au mama zao.Tena wengine hudiriki hata kwenda vijijini kwa ajili ya...
Leo mida ya saa mbili usiku nilikuwa nasikiliza Radio Maria na walikuwa wanajadili hichi kisa ambacho kimenishangaza sana.
Kisa chenyewe ni hichi: Kuna jamaa alikuwa na mke wake wa ndoa na...
jamani wana JF mimi ni newcomer.nawapongeza wana jamii hii kwa kutupa elimu mmbadala katika jamii,dont worry JF i willm air very interesting love tips in this site for today just accept me as a...
Wapendwa,
Ni sisi wale wa miaka 47 kama wanavyotuita. Nina miaka 10 na watoto mchakato! tatizo ni kuwa tulioana tukiwa pale na sasa tuko hapa. Nimepitia maisha ya aina mbalimbali nchi mbalimbali...
Tangu utotoni nimeambiwa the ultimate goal for a woman ni kuolewa.
Kusema kweli nilikuwa natamani ku-meet Mr Right and walking down the isle but what I've seen around me has made me wonder if...
Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa...
This topic needs honest comments from you guys.
Men can live/survive with his girlfriend/wife for a long time if she lost her job before she get another or even she doesnt have a job at all...
SA man's mass wedding 'saved money'
By Pumza Fihlani
BBC News, Durban
South African businessman Milton Mbele broke all the traditional rules of a polygamous wedding when he recently...
Msaidieni Jamaa yangu huyu, aliponiomba ushauri nilimwambia anipe mwezi mmoja nifikirie:
Jamaa yangu anaitwa Sam(si jina la kweli) ni kijana mwenye mafanikio kimaisha,anafanya kazi katika kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.