Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

kama unasoma duce halafu upo single naomba tuwasiliane...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Kama kawaida, jana kwenye kikao chetu cha kupata kamvinyo mjadala mpya ukaibuliwa. Safari hii ulihusu maswala ya kufumaniana. Ilionekana katika maswala ya mapenzi hakuna kitu kinachouma kama...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jamani!!mimi ni kijana maridadi na musomi,mika 29 naitaji jimama kwa mapenzi ya kweli kuanzia 35 year text me a sms at 0653075944
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Mazee naombeni ushauri wenu: nilikuwa na demu hapo kabla(tumeshatengana) baada ya kutengana akawa ananipigia sometimes kuniambia kuwa bado ananipenda ananihitaji ila mi nikawa namtolea nje so...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
I noticed that most people shy away from their duties as someone’s Boyfriend and Girlfriend. By GF/BF I mean anybody you are in a committed relationship with (with or without sex). Of course for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hebu jaribu kujikumbusha siku ambayo katika maisha yako ulifurahi sana na siku ambayo ulisikitika sana.Katika majonzi na katika raha mara nyingi huwa kuna kitu tunajifunza. Naanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepanga chumba katika flat ambayo tuko watu 4, wote ni wanafunzi,kutoka nchi tofauti(Spain, Peru,Poland, ) akiwemo dada mmoja, mtu wa Poland, kwa kweli huyu dada anapenda ngono maana nina siku...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Like many other things, man has also attributed meanings to the flower colors.Understanding these flower color meanings is an important task as after knowing these different flower color meanings...
0 Reactions
7 Replies
19K Views
NIMEKUTA KIJANA MMOJA AKANIAMBIA HIVI Hivi mapenzi yakoje? unajua huwezi kujiuliza kama hujawahi kutokewa na kitu kama hichi. anayekungangania humpendi kumwambia unaogopa kwani hata ukionyesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
:) An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to. First time I saw you, I was scared to touch you. First time I...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Lucy's brother had got engaged with his fiancée for 3yrs now and they are going to get married on December this year. These two couples love each other very much. Lucy’s brother lives in DAR and...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mpenzi Hujambo huko ulipo ? nadhani wewe ni mzima sana tena hujambo unaendelea vizuri tu , mimi sina mashaka yoyote juu yako mashaka niliyonayo ni jinsi tu unavyonimiss , najua huwa unanimiss...
0 Reactions
4 Replies
44K Views
wakuu, kesho nachukua likizo kidogo ya wiki kadhaa hivyo nitakua mbali kidogo kwenye mapumziko maalumu na wifi/ shemeji yenu!. so nawatakia kila la kheri, muendeleze gurudumu ndani ya JF. luv...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
One Friday morning, Mugo-Wa-Kibiro woke up hurriedly and prepared for work….He thanked God…for it was Friday!!! Mugo-Wa-Kibiro worked in a busy institution and was expected early at work. His...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hali hii ndiyo inayosababisha wanaume wajikute katika madhila yafuatayo: 1. Kuchelewa kuoa au kuoa wasiyempenda, wanasubiri tu mwanamke yeyote atakayejipeleka ndiyo huyohuyo. Manung'ayembe...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau, ni kweli matiti mengi ya kina dada zetu huanguka au kuwa makubwa kwa sababu ya kushikwa shikwa na kuchezewa au kuna sababu tofauti? Naombeni ufafanuzi.
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Ndugu wana JF wenzangu kunajambo linanisumbua sana kwa muda mrefu,kuna hiki kitu kinachoitwa kuchezeana kwenye mapenzi,ni muda mrefu nimekuwanikisikia wanawake wengi wakilalamika kuwa hivi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa...
0 Reactions
82 Replies
12K Views
Vp Jamani, huyu mwaJF anayetembea kwa jina la Sinkala alishajipatia jiko? Maana tulitangaziwa humu jamvini juu ya harusi yake kwamba ingekuwa August hii... au alikatishwa tamaa na vitisho vya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
jamani nisaidieni, mimi ni mdada mwenye miaka ishirini na nne ambaye nina mahusiano na mkaka mmoja kwa miaka sasa ni miwili hivi. tatizo langu ni kwamba huyo kaka alikuwa na mke na akanambia ana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…