Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua...
Jamaa fulani ana karibia kuoa. Wenzie wanamshawishi akajirushe kwa mara ya mwisho maana baada ya hapo atakua "mfungwa". Kwa hiyo jamaa anatoka usiku na washikaji zake. Mida ya usiku sana imefika...
Hellow JamiiForum,
what a great site have you been able to design and man.
Its incredibly enjoyable and the best cause really nothing is missing.
Congrates.
A NEW study may help to explain why women who are HIV positive tend to progress to AIDS faster than men, even when the viral load is the same.
Scientists at the Ragon Institute of...
Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health...
sijajua kama mada kama hii imeshawekwa humu au la. kama bado ni hivi, una rafiki yako, naye ana mwenza, mnapokwa nae anakuwa anawasiliana na mahawara zake kwa uhuru sana hata kukutana nao mkiwa...
Hope you all doing well. jamani naomba msaada..am not sure this is the right place for this but will go ahead..niwieni radhi!
I lost my elder sister last year.. mwaka mmoja ulitimia July 20th...
Wanajamii habarini za mchana,
Nahitaji ushauri wenu katika hili swala limenitatiza sana,mwishoni mwa wiki iliyopita nilipata msiba wa Babu yangu huko kwetu Tanga,na nilipata taarifa jioni ya siku...
Umeshawahi kuketi chini na kujiuliza, kama yasingekuwepo maisha yangekuwaje? Kimsingi ni swali gumu na hakuna anayeweza kulitolea jibu la moja kwa moja. Ni sawa na wanaume wanavyojiuliza kwamba...
"Having sex on average burns 200 to 300 calories and is slightly more entertaining than going to the gym. Do both together if you're feeling adventurous - the added excitement will burn extra...
I sometimes fail to understand the way my boyfriend does things. He constantly reminds me of the time I was a little girl and how dad used to be the closest person to run to.
He would, among...
Chelsea Clinton, Mkenya yuko tayari kutoa ng'ombe 20 na mbuzi 40 kumuoa Saturday, August 08, 2009 8:00 PM
Raia mmoja wa Kenya ambaye alituma posa ya kumuoa binti wa rais wa zamani wa Marekani...
A WOMAN'S POEM:
Before I lay me down to sleep,
I pray for a man, who's not a creep,
One who's handsome, smart and strong.
One who loves to listen long,
One who thinks before he speaks...
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini...
Sikupendi kivipi?
Umependeza!Unajua siku hizi hunipendi mwanamke ambaye ameishi na mume wake kwa miaka 6 alimlalamikia mume wake.
"Hivi unaongea kitu gani na wewe, kwa nini unasema hivyo...
Mwanaume ni Box
Hapo ana "fix' tatizo usimsumbue! Kama umekuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu ni dhahiri kwamba umetambua kwamba kuna tofauti zipo kati yako na mwenzi wako, na hizo tofauti ndizo...
Kwa nini wanaume tu!
..............Wapendeni wake zenu kama Kristo anavyolipenda kanisa!Biblia ipo wazi kabisa na imetoa tamko zaidi ya mara 4 kwa mume kumpenda mke wake.
Wakati huohuo...
Kwa hivi utamtembelea jela tu!
Lily/EmmanuelNI JUKUMU ULILOPEWA NA MUNGU WEWE MZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WANAKUWA NA NIDHAMU NA TABIA NJEMA.
Kujisahau na kufanya mambo yafuatayo unaweza...