Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli. Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!! Hawa...
13 Reactions
87 Replies
5K Views
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza? Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G)...
12 Reactions
121 Replies
4K Views
Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Wapenzi watazamaji , na mnaomchukia unique flower kipenzi changu kinasafiri Kiko hapa mswety I love u so much safari njema.💕❤️ My heart beat My kindness My unique flower my life my water . Come...
11 Reactions
114 Replies
4K Views
Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA? Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
14 Reactions
163 Replies
7K Views
Huyu jamaa serikali ingilieni Kati yupo magomeni mapipa mtaa wa dosi. Huyu dogo kila siku anapenzika na wanafunzi tena mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa anajua, kila siku anabadilisha wanawake...
13 Reactions
76 Replies
6K Views
Wasalaaam Naombeni ushauri jinsi ya kusolve hii inshu Ipo hivi, Kuna dada nakaa nae mtaa mmoja. She is pregnant. Sasa ametokea kunielewa sana kutokana na aina ya story tunazopiga, yaani Huwa...
2 Reactions
11 Replies
714 Views
Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata...
11 Reactions
106 Replies
4K Views
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya. Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye maada Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye...
8 Reactions
89 Replies
10K Views
Mara nyingi tunapishana gesti na wake za matajiri hapa mjini! Na wanaowanyandua ni vijana wa kawaida kabisa kama boda boda au ma house boy wao! Mnafeli wapi? Nyinyi matajiri? Wanyandueni wake...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki. Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila. Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Mwenzenu nina changamoto nipo kwenye ndoa miaka 13. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tulikuwa marafiki wazuri ila baada ya kuhamia Dar mwaka 2015 kuanza maisha...
28 Reactions
143 Replies
8K Views
Kuna jamaa mmoja ni mzaliwa wa huko Kusini alikuwa anasomea mambo ya udaktari ktk chuo fulani cha private hapa hapa Dar. Kama mjuavyo hulka za vijana vyuoni, jamaa mwishoni mwishoni anamaliza...
21 Reactions
206 Replies
15K Views
Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna siku Moja usiku nikiwa kwa mamaJ akanambia mchana wa Jana Yake, binti yake anayeuza dukani kwake kaibiwa Simu yake (Samsung smart phone) kwenye mazingira ya kutatanisha sana...
22 Reactions
332 Replies
12K Views
Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu. Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho. Pole...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu Nimekuwa na mpenzi wangu kwa zaidi miezi mitatu, katika mahusiano yetu tunaendana sana pia tumejiwekea malengo inshallah panapo majariwa tuoane Tatizo ninalopitia na mimi kwangu naona ni...
31 Reactions
226 Replies
12K Views
Naam Hii ni kwa wale wanaume au wanawake ambao wameshafanya mapenzi walau mara moja na kuendelea. Najua wengine humu ni mafundi na wameshafanya mapenzi kwa mara zisizo na idadi. But cha kwanza...
5 Reactions
113 Replies
22K Views
Ni wiki sasa tangu nilione tabasamu lake, kilicho baki ni misonyo tu ndani ya nyumba. Sababu kubwa ilio pelekea hiyo hali ni muvi ile ya bushmen (The gods must be crayz). Ilikua ni usiku...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Habarini natumaini muwazima. Twende kwenye mada. Ni ushawishi gani au kitu gani kilikufanya ukajikuta umefanya mapenzi Kwa mara ya kwanza na ulijisikiaje. Kwa mimi ilitokea baada ya washikaji...
9 Reactions
72 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…