Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako. Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa...
40 Reactions
145 Replies
18K Views
Jana mpenzi wangu alisema amenichoka na kuniambia why wakati wa kugegedana huwa nalia sana? Ila kwa kweli sikumjibu na wakati ulipofika wa kupeana utamu wetu nilianza tena ile tabia na akachukua...
4 Reactions
125 Replies
14K Views
Leo nimeona niwakumbuke ndugu zangu wanaopenda Mwanamke kwa Dhati ya Moyo na akili yao yote na hisia zao zote kuliko Kumpenda Bwana Yesu. Sawa, eehh ndo umempata sasa , umwekeza Muda na Pesa zako...
36 Reactions
75 Replies
17K Views
Onyo: BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana...
14 Reactions
98 Replies
6K Views
If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!. Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni...
20 Reactions
87 Replies
5K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi...
42 Reactions
371 Replies
56K Views
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto. Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni. Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula...
28 Reactions
158 Replies
11K Views
Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa. Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!. Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine...
7 Reactions
19 Replies
995 Views
Habarini Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila...
19 Reactions
125 Replies
4K Views
Wanaume wenzangu! Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake. Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi...
10 Reactions
13 Replies
617 Views
In this article, I’ll be pulling the curtain back on the 8 types of people who never deserve a second chance. Hold on tight, because some of these might hit close to home. 1) Chronic liars We’ve...
5 Reactions
18 Replies
653 Views
Leo nmeamka na mood ya mapenzi sana. au ni hali ya khewa hii[emoji12] Dedication kwa Babe wangu,Baby dady(Meck). Darassa feat Bien-No body No body can love you better than i do baby.
1 Reactions
25 Replies
958 Views
Happy holidays people and long time...i missed you Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year? Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so...
44 Reactions
270 Replies
6K Views
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini...
14 Reactions
114 Replies
2K Views
Wana Jamiiforums Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika...
1 Reactions
151 Replies
27K Views
Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione...
2 Reactions
11 Replies
448 Views
85 percent ya Wauza iPhone Hawawezi kukwambia SIRI hii Kwanini? Subiri nikupe Story, Nina Ndugu yangu Kila ikitoka iPhone, New Model, lazima Aidake! Na anaidaka ikiwa, Bado haijapoaa! My...
97 Reactions
213 Replies
17K Views
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa...
11 Reactions
48 Replies
594 Views
Back
Top Bottom