Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya...
12 Reactions
51 Replies
1K Views
Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
22 Reactions
147 Replies
3K Views
Wanaume wapendwa, Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua gauni, hakikisha umejinunulia suti nzuri. Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua vipodozi, hakikisha umejinunulia manukato ya...
7 Reactions
24 Replies
738 Views
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.
1 Reactions
95 Replies
52K Views
Za jioni wandugu Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa In...
28 Reactions
168 Replies
3K Views
Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni...
3 Reactions
16 Replies
847 Views
Hey guys Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako? Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini...
95 Reactions
445 Replies
23K Views
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!. Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala...
6 Reactions
17 Replies
420 Views
Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye...
8 Reactions
23 Replies
669 Views
Kwa mujibu wa utafiti wa www.trustpilot.com wamefanya tafiti na kubaini kwamba kila mtu huwa anabeba chuki na kinyongo moyoni kwa vitu 7 kwa wakati mmoja. Walifanya utafiti kwa kuchukua watu 12000...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili...
-1 Reactions
3 Replies
137 Views
Prof. Anna Tibaijuka anasema bora hata ndoa zinazovunjika kwani hivi sasa hakuna ndoa, vijana hawaoi, wasichana nao hawaolewi. Watu wanahangaika tu, asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka...
13 Reactions
60 Replies
2K Views
Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote...
7 Reactions
33 Replies
813 Views
Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo. Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha. Chukueni...
13 Reactions
119 Replies
3K Views
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, Je huyo mwanamke utaendelea kuwa...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
Nilisema napita 1. Ninapenda anunavyo, hima kumbembeleza Hasira za hovyo hovyo, jikoni nikimtweza Nilivyomuwaza sivyo, hakika ameniweza Nilisema ninapita, ila sasa nimezama 2. Komwe nisipo...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Ndugu zangu salaaaam.. Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje. Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima...
3 Reactions
35 Replies
881 Views
I am in a relationship with somebody employed,but since we started the love my partner is so busy and he does not show a good communication between,most of the time I started to call and text...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu jamani kwanza niwape pongezi kwa ushauri wenu unatusaidia sana Mimi ni Mwanachuo wa SAUTI ninaomba ushauri, wakati nafika Chuo Mwaka wa Kwanza kwenye orientation nilikutana na mdada...
3 Reactions
116 Replies
14K Views
Back
Top Bottom