Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quiet different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe. Nayasema haya...
31 Reactions
322 Replies
36K Views
Kiukweli kuna jamaa mmoja hapa jirani yangu anateswa sana na mkewake, anapigwa sana kama mtoto lakini hawezi kumuacha huyo mwanamke. Kuna siku alimuuliza mke wake kua anaenda wapi, halafu ilikua...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu mdada tunafanya naye kazi yaani namshuhudia anaolewa tena harus yake sikuchanga na kadi alinipa na nikahudhuria vizuri tu Huyu dada ananipendaga tu nishamla mara1 tu ana mtoto m1 amezaa na...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Wanaume wengi ni wahanga wa kuombwa ombwa hela ovyo na wanawake pale wanapowatongoza, yaani unakutana na mwanamke baada tu ya wewe kumtongoza hapo hapo mama yake anaumwa, njaa inamuuma, simu yake...
16 Reactions
68 Replies
10K Views
Swadaktaaa? Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo...
44 Reactions
577 Replies
162K Views
Sipo hapa kupingana na wanaume wenzangu wala kupingana na chaguo la wanawake ila nipo hapa kusema ukweli ambao siku zote unafichwa kwa kivuli cha mwanaume mweusi-mrefu tena mwingine akiwa na hela...
11 Reactions
104 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39]) Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi...
23 Reactions
449 Replies
26K Views
Ukiwa kwenye ndoa ukinyoa bila taarifa Kuna namna Inaweza kuleta shida kubwa Sana.
1 Reactions
3 Replies
208 Views
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)...
376 Reactions
651 Replies
97K Views
Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa. Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie! You don't...
43 Reactions
130 Replies
3K Views
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini...
15 Reactions
42 Replies
1K Views
Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf. Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu habarini! Hawa wanawake wasiojitambua Ni changamoto Sana! Hapa kitaa Kuna kisa kimetokea na ugomvi kuzuka wa hali ya juu! Ni hivi, Kuna mzee mmoja hapa mwenye mke na watoto, ambaye kwa...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya, Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa...
11 Reactions
139 Replies
10K Views
There are currently 482 users browsing this forum. (95 members & 387 guests) Digna37 MUREFU Michelle uporoto01 kibisavet Dena Amsi chuki Truenorth masssaiboi mndumsolo chetuntu zaklove Suleimana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Back
Top Bottom