Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,
Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,
Alinishukuru sana kwa upendo...
Habari wakuu,
Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa,
Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake,
Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji...
Huu unaweza ukawa mwaka wa neema kwangu kwa sababu tangu tarehe kwanza ianze mpaka leo nimeshavuta vyombo 6 swaafi kabisa na kuvila na bado kuna kama vyombo 5 vipya viko kwenye ushawishi wa...
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is just a waste of space lakini ulimpenda...
Habari za mchana nyote.
Natumai mmeshapata mlo wa mchana na kama bado basi niwatakie mlo mwema mtakapopata nafasi wa kuubwia.
Naomba nisimulie kile macho yangu yanaona na ubongo unanipa taarifa...
Kutongoza mitandaoni ni changamoto ila inabidi ukubaliane nazo tu.
Ofcourse walioko mitandaoni ndio hao hao walioko mtaani ila changamoto zake ni kubwa. Juzi nimeona mdau mmoja akilalamika kule...
Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao.
Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami...
Wakuu habari zetu, mimi ni kijana nimeoa takribani miaka miwili iliopita, nashukuru Mungu mwaka huu kajifungua salama.sasa kimbembe nilichokutana nacho alipokuwa mjamzito siji kusahau kuna siku...
Leo wakati nasikiliza kipindi flani kuna doctor wa kisaikolojia alikuwa akichambua tofauti ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe kwa kusikiliza kauli zao pale mwanaume...
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow...
Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa...
Hey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa...
Wakuu habarini,
Hivi karbuni nimebahatika kufunga ndoa na mke wangu, wakati huo nishampatia mimba.
Hivi karibuni baba mkwe nilimwambia anitaftie kiwanja cha million 1.5 -2, cha kushangaza mzee...
Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda...
Si unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson.
Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia...
Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu.
Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu,
Kiukweli she is kind...
Yani mimi katika kushiriki tendo la ndoa, mwanamke akininyima nisizame chumvini siinjoy kabisa, na stimu zinakata kabisa. Mwingine utakuta anakwambia "ukininyonya huku nitasikia kinyaa" Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.