Mambo vipi Wana jamii....?
Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana.
Iko hivi
Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za...
Ebhana Good Morning JamiiForum People, Hope y'all had a blasting Week
I thank god leo naingia Robo Karne, I haven't experienced it all ila it's a pleasure to be part of the journey, Witnessing the...
Habar wakuu,
Kwanza niseme TU kisa hiki ni Cha miaka mingi ya nyuma sn ilopita ya ndoa yangu na MKE wangu MAMA G.
Kiukweli miongoni mwa ndoa zilizopita misukosuko mingi miaka 5 ya kwanza ya...
Dah, nina stress kinoma.
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi.
Je, ni moja...
Ndugu wana JF,
Niliwahi kuleta uzi hapa kipindi cha nyuma kidogo mwaka jana kuomba ushauri kuwa mume wangu hashughuliki na chochote cha ndani hanunui sukari ila anataka kunywa chai...
Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:-
1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana.
2. Hakikisha umekula...
Sina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa...
Mdaiwa Tumaini Angumbwike (35) mkazi wa Makunguru ameiambia Mahakama ya Mwanzo mkoani Mbeya kuwa yuko tayari kutalakiana na mume wake kuliko kurudi kijijini.
Angumbwike ameiambia mahakama kuwa...
Wakuu hii story yangu ambayo niliandika kama kisa ambacho siwezi kukisahau na huwa kinanitesa mpaka leo kwenye maisha yangu, na nilikiandika kama mchango katika uzi wa ndugu yetu
laskaboza ...
Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi.
Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi.
Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi.
Krismasi ikifika...
Hivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri...
Guys, abeg make una learn from my experience. Marriage no be only for fine face. My own don teach me lesson.
Three months, and I don see pepper. For now, I think say single life fit be the best...
Nakumbuka Ilikuwa Mwaka Jana Mwezi Wa 6 Hivi...Nilikuwa Nimelala Zangu Mida Ya Mchana Mara Text Ikaingia...
"Samahani Sana Kwa Message Hii,Ila Itabidi Kulizika Hili Penzi,Najua Napoteza MTU...
Habari za muda wakuu,
Nataka niwatolee povu baadhi ya wanawake haswa visichana unakuta unakipanga ukakigegede kinakupangia siku kinakuja lakini cha ajabu akifika ghetto baada ya stories mbili...
Kuna kundi la wanaume limezuka na kujigeuza kuwa wanawake wakitegemea wanaume katika mahitaji yao ya kimapenzi (Mashoga) Naombeni niwaambie wajue kuwa wanaume tuna mzigo mkubwa sasa kuhakikisha...
BARUA WAZI KWA MPENZI WANGU
________________
Dear my love.
Leo ni siku yangu mbaya katika maisha yangu. Sikutegemea kama ingetokea ghafla mimi na wewe tukaachana. Tumepitia katika kipingi...
Being chubby or plus size is not a sickness. It's just being big bold and beautiful. People find it easy to body shame plus size women. They are quick to call them "fatty bum bum". This has led...
Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.