Weekend yenu vipi,
Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake...
Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?
We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda...
Taarifa zilizotolewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari hivi punde zimeonyesha kuwa mabinti wengi kati ya miaka 18-35 wanachekelea kuliwa Tigo. Sababu za kuliwa Tigo zimeelezwa kama ifuatavyo...
Watu wengi sana wanalalamika mara utasikia "siwezi kumuamini mwanaume/ Mwanamke maishani mwangu" , mwengine anasema binadamu wabaya,wengine wanasema "usimuamini mtu yeyote " n.k lakini uhalisia wa...
Wapendwa WANAUME, Ikiwa mwanamke anakupenda kiukweli, vitu pekee ambavyo atatamani kutoka kwako ni mapenzi, umakini, na uhusiano wa kihisia—hii ndiyo misingi ya upendo wa kweli (eros). Walakini...
Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu.
Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe...
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!.
Kitu kinachoitwa uongozi na...
Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake?
Mnapata ujasiri...
Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina...
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa...
WATU HUJA KWAKO KIMKAKATI,MVUTO WAKO KIMUONEKANO NI ZIADA TU.
Wenye upeo mkubwa wa kuona mbali hili si jambo geni wanaelewa kabisa kuwa mvuto ni kitu cha ziada tena pengine kikawa na nafasi ndogo...
Wakuu kwema?
Aisee nilikua na Pisi moja hivi nimekaa nayo miaka 4 aisee tokea akiwa form three mpaka alivofika chuo .. alikuja mkoa ninaoishi kwa ajili yangu.
Tatizo lilianzia hapa
Aisee...
Iko hivi, mimi nina wanawake watatu ambao nilikuwa nadate nao. Katika hao watu watatu mmoja yuko vizuri kiuchum, yaani anajiweza na ni mtu ambae ametokea kwenye familia ya kishua lakini ni mtu...
Wakuu salaam,
Ukisoma kisa cha patrickk na reply za wadau, utagundua % kubwa ya wanawake desperate wanaotutesa ktk mahusiano, wanatengenezwa na sisi wanaume.
Imagine umekutana na wanawake...
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye;
✍️Kuna...
Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.