Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu niwatakie heri na baraka tele za mwisho wa mwaka 2023. Mwaka 2024 tusikwepe wanawake wazuri tuhakikishe tunawaoa na wao pia ili kumbana shetani akose sampuli za kutumia kuangamiza hii...
9 Reactions
94 Replies
9K Views
Wakuu kutokana na shughuli zangu nimekuwa nikikuta na kila aina ya wanawake wazuri kiasi cha sasa kila mwanamke hata awe mzuri kiasi gani namuona wa kawaida sana sijaona mwanwmke wa kunitetemesha...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
"Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana." MITHALI 18:22. Wapendwa nilitaka nipotee kimya kimya, ila kwa namna hii ID yangu ilikaribishwa kwa upendo na kwa upendo nilionao...
60 Reactions
749 Replies
25K Views
Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel. Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa...
61 Reactions
450 Replies
20K Views
Wakuu wa baraza heshima kwenu, Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee...
12 Reactions
223 Replies
18K Views
Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
11 Reactions
180 Replies
8K Views
Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu...
16 Reactions
131 Replies
10K Views
Humu kusema kweli wazee wamo wengi sio me au ke sema me wanawasema ke sana kuwa wao niwazee. Basi bhana mie nafurahigi kuona vizee vinapigiania vizee vyenzao 😄😅😅😅 halafu wale wadada wanaokaribia...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Ijumaa Kareem! Malalamiko mengi mno nimesikia vijana wanalalamika mara nyuchi zinalegea, mara hawasisimki wakiwaona wanawake hata makalio yakiwa wazi na kadhalika. Kwanza jueni yafuatayo; 1...
27 Reactions
204 Replies
10K Views
Katika pitapita zangu za hapa na pale katika kila post za watu tofautitofauti. Nimegundua wanaume na wanawake wa humu wanaendekeza ngono sana. Haswa hizi posti za MMU utakuta watu wameposti...
11 Reactions
93 Replies
5K Views
Kaka usikimbilie kuichomoa baada ya kukojoa iache iheme ndani kwa ndani kwa dakika kadhaa. Kuna wanakati mwanamke hulazimika kukung'ang'ania au ukitaka kuchanyuka anakushika huwa anapata raha...
14 Reactions
45 Replies
7K Views
Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla...
22 Reactions
168 Replies
6K Views
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia...
29 Reactions
72 Replies
19K Views
Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema...
5 Reactions
45 Replies
924 Views
Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda...
13 Reactions
54 Replies
922 Views
Hello jamiiforums Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka...
3 Reactions
4 Replies
171 Views
Habari zenu wanaJAMII! Kuna cha kujifunza ktk hii true story! Ulikuwa umetoka kumaliza Form 6. Ulikuwa unaishi maeneo ya Ubungo, jirani na kituo cha dala dala maarufu BAKWATA, kati kati ya...
11 Reactions
272 Replies
30K Views
Katika maisha Mungu ana kanuni ya kukupa yule unaefanana nae, hata kama unafanya mambo kwa Siri kiasi gani jua kabisa ulienae unafanana nae. Kama wewe ulikuwa mzinzi fahamu kuwa upo na mzinzi...
2 Reactions
5 Replies
298 Views
Katika jamii yetu ya leo, kumekuwa na mitindo na vigezo vya kipekee vinavyoshinikiza wanawake kuchagua wapenzi kulingana na vipengele kama urefu. Katika mazungumzo mengi, utakuta wanawake wengi...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi...
123 Reactions
2K Replies
65K Views
Back
Top Bottom