Habari za muda huu,
Rejea kichwa cha uzi, kinaongea kwa mapana ila yaliyopo kwenye akili yangu yako kwenye nyanja tofauti tofauti.
1. Mwanaume kumjali jinsia ya kike yeyote yule aliyempenda...
Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia?
Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado...
Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa...
HAPA PINDI ANAPORUDI NYUMBANI
1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.
2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza...
Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio...
Wakuu, heri ya sikukuu ya kuchinja.
Kuna kitu nikawaza, baada ya kwenda hospitali X kumuona mgonjwa wangu wa karibu.(wakati fulani)
Yule mwamba wakati anakuwa admitted hali haikuwa nzuri kiasi...
Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana...
Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla.
Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena...
Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza...
Kumbe yule raisi wa duniani alikuwa mwovu... yupo anachemsha damu hapa
Mkewe na yeye wanakula pedi.
Macho yangu nayo yanawaka sana.
Wakuu Melo anatakiwa apate tuzo coz kazi ni kubwa kuiongoza...
Mimi nikikumbuka napatwa na kwikwi, Mungu anisamehe nilizagamua mtu msibani. Nikikumbuka hadi leo huwa nacheka tu.
Kwanza yule mfiwa sijui alienda wapi sijawahi kumuona tena
Dah. . . kumbe waMassai nao wanajua kuFLIRT ehhhh?Hehehe. . nilidhani hayo ni mambo ya watu wa mujini tu.
Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na...
Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa.
Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana...
Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama!
Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na...
Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu...
Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia...
Hello...hello...hello...😍
Hamjambo jamani huku ndani? Nina imani nyote mnaendelea vyema sana. 🤸♀️🤸♀️
Sasa basi, sijui huu ni ushuhuda, elimu, au uvumilivu. Hebu nyie someni halafu muone inakaa...
Habari ndugu zangu..
Nakuja tena mbele yenu mimi kijana wenu ambaye sijaoa kabisa na ninatafuta mke huku na huko , ila binafsi ninalist ya wanawake wa kutosha ambao sioni hata anaefaa kua mke...
Kuna siku nilitembelea chuo fulani, kwa ajili ya shughuli tu za kikazi.
Ile nikiwa kwenye foleni katika kusubiri huduma, nikakutana na jamaa zangu wawili ambao tulikuwa tunafahamiana huko mtaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.