Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana JF.Naomba ushauri wenu.Nilikuwa na ex boyfriend ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.Nilimpenda sana huyu kijana.Nilijitolea muda wangu na nilifanya kila mbinu...
2 Reactions
85 Replies
7K Views
MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE! Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo...
22 Reactions
107 Replies
3K Views
Salaam jamiiforum Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo Leo...
12 Reactions
26 Replies
710 Views
Women are smart, yooo. Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla...
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti. Hii laana inasababishwa na nini?
4 Reactions
137 Replies
16K Views
Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu" Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo...
2 Reactions
11 Replies
355 Views
  • Poll Poll
4 Reactions
5 Replies
161 Views
Dawa za ARV zimekuwa na msaada mkubwa sana kuzuia maambukizi pale waathirika wanapokutana kimwili na ambao hawajaathirika. Imefikia kipindi mtu anaweza kutembea peku na idadi kubwa lakini akipima...
7 Reactions
28 Replies
976 Views
Tunamaliza mwezi January 2025 Kama umechepuka,au umeshazini ndani ya siku hizi 30,wewe ni mzinzi pro,unahitaji maombi
4 Reactions
15 Replies
344 Views
Iko hivi, Huu mkoa niliopo kuna dogo mmoja wa bodaboda huwa namuagiza vitu nikipata dharura, tumezoeana sana. Hata akipata shida ndogondogo sitosita kumsaidia. Sasa siku moja nilimualika kwangu...
33 Reactions
268 Replies
12K Views
Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui. Mmoja alikua chapombe...
21 Reactions
124 Replies
2K Views
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na...
71 Reactions
483 Replies
92K Views
Wanaume, Anataka usahau kuhusu maisha yake ya nyuma, lakini hataki kaka yake aoe mwanamke mwenye historia kama yake. Anataka utumie pesa zako kwake kwa wingi, lakini hataki kaka yake afanye...
2 Reactions
5 Replies
239 Views
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo...
12 Reactions
285 Replies
18K Views
Iko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani. Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye...
28 Reactions
115 Replies
3K Views
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome. Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa...
9 Reactions
23 Replies
400 Views
Asilimia kubwa ya wasichana niliowaona chupi zao wakati wa kuwagegeda au hata wakiwa wamekaa tu vibaya mathalani hata kwenye daladala rangi ya chupi zao huwaga nyeupe au pink. Nataka nijue...
7 Reactions
196 Replies
47K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma nilimpendaga binti mmoja, sasa kimbembe kilikuwa kumwambua nakupenda. Kuna siku nikasema hapana kumwambia ana kwa ana nimeshindwa ngoja nimwandikie barua, nikaingia zangu...
9 Reactions
31 Replies
37K Views
Mwenza wako anakupuuza sana pale ambapo unakuwa unajirahisisha sana kwake, unajitutumua sana ili kumfurahisha, unahatarisha uhai wako ili uthibitishe kwamba wewe ni husband material/wife material...
4 Reactions
6 Replies
435 Views
Back
Top Bottom