Huku mkoa wa Lindi na Mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi nyingi sana, je kuna mtu anajua bei ya Mbaazi kwa mwakahuu? Au matarajio ya soko litakuwa vipi? Mwaka jana najua soko liliyumba kidongo...
Udalali wa ardhi na majengo unahusisha huduma za kitaalamu zinazotolewa na madalali katika shughuli za kuuza, kununua, au kukodisha ardhi na majengo. Hapa kuna muhtasari wa masuala muhimu katika...
• Direction: Maduka Mawili
• Condition: Ya kuhamia
• Rent: TZS milioni 2/mwezi
• Terms: Miezi 6 au mwaka
• Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa...
Habari,
Moja ya maeneo yangu ya ushauri na utendaji kama ushauri na usaidizi ni katika kuchanganua mawazo ya uanzishashwaji miradi ya kiuchumi na kijamii pia uendelezaji wake.
Na katika hayo...
Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK...
Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia...
Usiogope Kuhusu Gharama Wala Ukubwa Wa Shamba.
Farmside Company Tupo Kwaajili yako.
Baada ya kukamilisha kufunga mfumo wa drip, mapema mteja amepanda Miche ya Mboga Mboga Aina tofauti tofauti...
Bei ya Hisense smart tv
32" - 380,000
40" - 580,000
43"- 650,000
50" - 899,000
55"- 1000,000
58"- 1,200,000
Warranty mwaka mmoja (miezi 12)
Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge.
WhatsApp...
Habari,
kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023.
Nina uhitaji wa google console account / play store developer account.
Njoo pm please
Tupo Moshi tunatengeneza website kwa bei nzuri ila tawi letu lipo Arusha City,. Nandipo tulipoanzia .
inbox me if unahitaji
Logo nzuri za kisasa ,websites nzuri ambazo zimeundwa kwa miundo ya...
Hello wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi.
Mimi...
Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.