Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi...
Habari,
Karibuni kwenye hii thread , ntakua na share products za umeme nnazouza , Ofisi yetu iko Msasani karibu na Hospital ya CCBRT
Tunauza kwa jumla na rejareja, kwa wateja wanaopenda...
Kwa muonekano mzuri wa ndevu zako tumia mafuta haya hujaza ndevu,huzipa ndevu mng’aro ,kuzuia muwasho,,kuzuia vipele na kuafanya ndevu zichanike kirahisi..
Suffer from a dry and brittle beard...
Wakuu habari za leo. Ninahitaji asali kama kiasi cha kilo kumi kwenda Ulaya. Nimekwenda posta wameniambia wao hachukui vimiminika. Naombeni msaada wakuu, njia ipi niitumie kusafirisha hii asali...
Habari wadau, nahitaji msaada wa mtu mwenye utaalamu/ufahamu wa kufunga internet point to point, kwa maana kwamba Nina Fiber internet access kwenye ofisi yangu moja point A(Tandale Chama) na ofisi...
Habari ya muda huu,
Nakodisha ambulance kwa miradi mbali mbali au hospital binafsi, pia nafanya usafirishaji wa miili ya marehemu toka sehem moja kwenda nyingine.
Napatikana Dar es Salaam
Kwa...
House for Sale
3 Bedrooms
1 Sitting Room
1 Kitchen
Plot size: 35 X 20
Location: Kibaha, Kwa Mathias, Tanzania
Price: 35,000,000 TZs ($15,225)
Call: +255 658 700 510
Nyumba ya vyumba vitatu.
Ina store ya jikoni, ina dining area.
Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji.
Pia kuna heater za maji ya moto...
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili...
JOEX MOTORS TANZANIA LTD, ni kampuni tanzu kutoka Joex Holding Group, sisi ni waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan na Europe, tunaagiza, na kuuza magari yenye auction grade ya kuanzia 4.0...
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE
habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo
Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na...
Mzuka wana Jamvi.
Tuna aina tofauti tofauti za Dawa za asili za India kutoka kampuni ya Himalaya na pia kutoka kampuni zingine ila zote ni za India.
Dawa zilizopo ni za;
1. Watoto
2. Dawa za...
Nimehama makazi ila kuna vitu vya ndani sijahama navyo hivyo navitoa bure kwa mtu anahitaji(mwenye shida kweli) au kama unamjua anayehitaji.
-Godoro zima kabisa
-Nguo- mashati, Tshirts na surual...
Zara OG sinaga kazi mbovu 40000.
Karibu sana, ni ngumu mno hivi viatu na ni fashionable ndio habari ya mjini kwa sasa.
Size zilizopo ni 37, 38, 39, 40 41 na 42
No za order ni 0712163738.
TUPO...
Nauza kitanda na godoro
Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga
Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6
Vyote nauza kwa 300k tu
sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya
Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.