Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox...
Gari: Toyota hilux surf
Mahali: Morogoro mjini
Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8
Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder...
Habari wapendwa,
Jina langu naitwa Jerry, najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania, kupitia uzi huu ntakuwa naweka magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika...
Make: Mitsubishi
Model: Pajero io
Year: 2000
Capacity: 1830cc
Colour: Pearly White
Full Documents
Full AC
Price: 9.2M
Fuel: Petrol
Call: 0717436363
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.