Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

• Direction: Nyrerere Bridge Road • Yard Area: 10,500 sqm • Rent: USD 10,000/month (payment in TSH is accepted) • Terms: 5 to 10 years • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ yard imepimwa na ni salama...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
• Direction: Tazara near Mfugale • Warehouse Area: 460 sqm • Rent: USD 2,300/month (payment in TSH is accepted) • Terms: 12 months • Brokerage fee applies • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ iko eneo...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Kwa Anayehitaji Eneo Kwa Ajili Ya Kuweka SHOWROOM Au GARAGE Hilo Hapo Ni Jipya Kabisa Na Limeshakamilika. Lipo📍 Mwananyamala "A" Barabara Ya Mwinjuma Jijini Dar Es Salaam. Ukubwa Wake Ni 576SQM...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Habari wakuu, Eneo hili linapangishwa kwa matumizi ya bar(pub), groceries, mgahawa na biashara nyingine kama ulionavyo lipo maeneo ya Tabata(DSM), Kodi kwa mwezi ni laki mbili(200,000/=) Kwa...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Natafuta kampuni au mwekezaji yoyote wa kujenga kituo cha mafuta katika eneo langu . eneo lipo katika barabara kuu Arusha-Dodoma(maelezo zaidi picha na sehemu husika Dm nitakupa)
1 Reactions
7 Replies
717 Views
Nauza kiwanja kipo Miganga West Dodoma Mjini kiwanja kina huduma zote za msingi kama barabara maji na umeme kimepimwa na kina documents ukubwa wa kiwanja ni sqm 450 bei ya kuuza milioni 6...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam, Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo) kipo karibu na nyumba za TBA Kina ukubwa wa sqm 1628 Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini) Kiwanja kina hati Maliki...
1 Reactions
111 Replies
32K Views
Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo. Kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali Bei: Tsh. 1,300,000/= Umeme Upo na maji yapo Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mabanda yapo kimara Korogwe yanafaa kufigia kuku wa kisasa yanakodishwa yanauwezo wa kufigia kuku 900-1000.Bei maelewano ukishayaona.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
PLOT FOR SALE ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Goba - kilometers 2 kutoka njia nne na 1 kilometer kutoka barabara ya lami ya kwenda Madale. Kiwanja kina ukubwa wa 625 square...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu salama, nimebanwa katika mihangaiko ya kutafuta pesa imebid niuze asset zangu ikiwo kiwanja. Urefu mita 30, upana mita30. Nilishaweka trip 6 mchanga, trip 11mawe lakini naona niende ulaya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu kwa mahitaji yote ya nyumba,vyumba,mashamba,viwanja ndani ya dar ea salaam tafadhali usisite kunitafuta 0659756647 au kujiunga katika group langu iwe ni kwa ajili ya kununua na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja Kipo Kilomita 3 Kutoka Goba Senta. Ukubwa wa Kiwanja 400Sqm Umiliki; Hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa Bei Tshs 6.5 Milioni Umeme Upo, barabara hadi Kwenye Kiwanja. Sent using Jamii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NAUZA ENEO LA BIASHARA, SQM 1280. KIWANJA KINA HATI, KIPO MBEZI MWISHO KARIBU NA MOROGORO ROAD YA ZAMANI. NI CHA KWETU. HAKUNA DALALI. MADALALI PIA MNAKARIBISHWA. 0659997074 (whatsapp, calls &sms)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana jf. Kuna nyumba 3 zinapangishwaa maeneo ya mwenge savei karibu na mliman city. 1. Chumba sebule choo na jiko 180,000/= kwa mwezi. 2. sebule vyumba viwili choo na jiko. tsh 280,000/=...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta yard ya kupaki magari ya mizigo ukubwa nusu acre mpaka acre nzima.Karibu na bandari au bagamoya road mpaka bunju.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji fremu ya kupanga kwa ajili ya depot ya vinywaji baridi na bidhaa za jumla maeneo ya Goba, Massana, Mbezi Mwisho. Tafadhali ni-pm kama una eneo
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Kiwanja kinauzwa BUSWELU Kwa wakazi wa mwanza kuna viwanja viwili vimeshikana vinauzwa maeneo ya Buswelu jijini Mwanza Vimeshapimwa na vina Full Documents
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom