Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kiwanja kipo Goba mjini mita 300 kutoka stand Ukubwa miguu 50 kwa 40,pako vizr na njia inafika hadi kwenye plot..bei 35 ml maongezi yapo Kwa Maelezo zaidi na kuhitaji kuja kuona wasiliana nami...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunapima 20 kwa 20 na bei yake 7.5ml maongezi kidogo yapo Karibu ujipatie plot nzr iko maeneo mazuri na mji uliopimwa kwa mpangilio , njia nzr na panafikika kwa urahisi, unaweza pitia mbweni au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninapangisha frem mbili kwa pamoja, njia ya Tangibovu-Goba, zinafaa kwa mini-supermarket. Tayari nilikuwa nimeshaweka shelf kama picha zinavyoonesha. wasiliana kwa simu +255743831889 au PM kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kiwanja Kipo Goba, Mtaa wa Muungano. Karibu na Mivumoni. Ukubwa wa kiwanja: SQM 500, Bei Milioni 8.5. Direction: Ukitokea Tegeta Wazo alafu Mivumoni center then Kiwanjani. Kipo Kilometer3 kutoka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu. Natafuta shamba la kukodisha ili nifuge kuku. Liwe la hekari tatu, pia liwe Dar au nje ya Dar (Pwani) ila isiwe mbali na Dar es salaam. Mwenye nalo aniPM tafadhari...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Chumba sebule jiko pamoja na choo chake kinapangishwa maeneo ya savei dakika 7 tokea mlimani city. Bei yake ni sh 180, 000/= inahitajika kodi ya mwaka. Nb hakuna uzio ila kuna usalama na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika. Mimi napatikana Dar nipo tayari...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Back
Top Bottom