Kiwanja ukubwa 656 M2 kinauzwa sh 45Mil. Kipo Mbezi Kwa Musuguri barabara ya zege iendayo malamba mawili. Kiko umbali wa mita 32 kutoka barabara kuu. Mawasiliano 0713273195.
Wakuu salama? Kuna nyumba nauza haijakamilika natafuta mteja. Nyumba na kiwanja vipo DSM kama kuna mteja serius karibu PM kwa taarifa zaidi.
Eneo: mbezi makabe mpakani, kiwanja kina 45x45sqm...
Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.
Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.
Habari maboss.
Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu.
Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200
Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina...
Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar
-Hekari 4 zimepandwa miti aina ya mitiki yenye...
2 plots attached for sale in Kawe Beach, located along Highway of Mwai Kibaki Road.
The land sized: 12,633 sqm is equal to 3 acres
Land use: Commercial
- Ideal for shopping mall, school...
Unajitafutia nafasi nzuri ya kuwekeza? Hapa kuna fursa kwako! Unanunua nyumba za zamani, unazibomoa na unajenga nyumba mpya za kukodisha, na unaanza kupata mapato haraka. Huu ni mchongo mzuri kwa...
NYUMBA INAUZWA
MKOA: Dar es Salaam, Tanzania
WILAYA: Kinondoni
MAHALI: Bunju Beach, Moga
NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO
BEI: TZS Milioni 550
MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600...
Habari wana JF,
Nina eneo nauza lipo Mbande Dodoma barabarani kabisa. Ukubwa ni heka 2.5 na linafaa kwa sheri au makazi na lina maji pamoja na umeme
Kwa anayehitaji tuwasiliane 0785670041
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road).
Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5).
Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga...
• Direction:
Majumba Sita Gogo Zembe, 1.7 km off Nyerere Rd (Airport)
• Facilities:
currently up to 7 ton trucks road. For later expansion the road will be accessible with all trucks
• Plot...
Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics.
Jirani ni msikiti, na kiwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.