Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Shamba linauzwa, liko mlandizi, ukubwa; eka 31/2 bei; mil 5 mawasiliano; 0754495938
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)eneo limeshajengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara pia umeme upo,bei ni kwa yule anayehitaji kwa mawasiliano piga 0785-458405
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
UKUBWA: SQM 900, UMEME UPO NA BARABARA HADI KWENYE KIWANJA. KIWANJA KIMEKATWA, MWENYE KIWANJA AMEJENGA PEMBENI. KIWANJA HAKIJAPIMWA, ILA HAKINA MGOGORO NA MWENYE KIWANJA YUPO JIRANI. BEI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Tahadhari: Sitaki dalali kwenye biashara hii!
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Habari wana Bodi Mashamba yanauzwa Mikese Morogoro. 2 km kutoka barabara kuu Bei: laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lipo Mbeya jiji barabara ya inyala hospital kama unaelekea inyala secondary, linaukubwa wa hatua 30 kwa 18 bei ni 5M. Nicheck kwa namba 0714374155 au 0753199179.
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa x,nauza eneo lenye vyumba viwili,eneo lipo mbezi (goba)sio mbali na barabara na umeme upo namba zangu kwa atakayehitaji ni 0785-458405
1 Reactions
0 Replies
807 Views
Viwanja viko mbezi mpiji magoe ukubwa kuanzia 22x20 bei 4.5milion. Viko kandokando mwa barabara ya mbezi kwenda mpiji magoe. Huduma muhimu kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nauza Kiwanja change chenye ukubwa wa 35x45 mita, kimepimwa na manispaa ya morogoro, kina ofa. Nauza kwa bei ya tsh 10M haipungui. Eneo lipo kihonda Kilimanjaro ( karibu na eneo...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Viwanja vipo Kilometer1.2 kutoka stedi ya daladala ya Goba. Viwanja vimepimwa kama ifuatavyo:-- Ukubwa 20M×20M (SQM 400)-Bei 10Milioni Ukubwa 20M×40M (SQM 800)-Bei 20Milioni Ukubwa 30M×40M (SQM...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Kiwanja kina hati na kina ukubwa wa Sq metre 1,516. Bei ni 22.5 million . Pia mazungumzo yapo. Karibu sana 0718 385 553
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbande mwembe bamia, temeke Dar es salaam. Milioni 11. Kinafaa kwa flemu kwa kuwa kiko karibu na barabara ya mtaa au unaweza jenga na nyumba. Ni kilomita karibia na moja...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Nauza kiwanja maeneo ya dege Kigamboni jiran na magorofa ya NSSF....hakijapimwa ila kina mita kama 28*25. Kipo jiran kabisa na barabara. Kwa mwenye kuhitaji tuchekiane 0713806766. Bei ni milion 5...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom