Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

PLOT FOR SALE PLOT SIZE: 572sq GPS CODES; LAT -3.384321 LNG 36.558426 LOCATIONS: ENGORORA (Village), KISONGO (Ward), ARUMERU WEST (Province), ARUSHA (Region), ARUSHA DISTRICT COUNCIL CLOSE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.kipo kerege umbali wa kilometa2 toka barabarani 3/4acre documents zipo 2.kipo mapinga vikawe 20x20 karibu na barabara 3.kipo mapinga barabarani ukubwa 1.5acre hati zipo 4.kipo mbweni karibu na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kipo nyuma ya uwanja wa airport si mbali sana toka uwanjan. Kina urefu wa 21x19m na upana wa 15.5x11.1m. 2.5ml 0753101293
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Viwanja vilivyopimwa ndani ya KIBAHA vinauzwa.Square meter moja ni Tsh 9000.vipo pangani kibaha just 4.5km from morogoro road.Umeme upo katika mradi. Unaweza kulipia asilimia 25 ya gharama za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa kibaha,chanika,bagamoyo,kiluvya wahi mapema anayetaka anicheki
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukubwa: 25M × 20M (500SQM) Kiwanja Hakijapimwa ila hakina Mgogoro, Mimi Mwenyewe naishi jirani na Mauziano yatafanyika serikali ya mtaa. Bei ya Kiwanja 8.5milioni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
sqm 963 ni changu mwenyewe kina hati kabisa mwenye uhitaji 0713691101 bei maelewano
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo linauzwa haraka,Lipo Kinzudi Goba, Ukubwa- 9,276square metres, Kimepimwa, Kuna nyumba kubwa ambayo haikumalizika yenye umeme na Kisima cha maji ya chumvi, Bei yake kila kitu ni...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Nauza Viwanja vilivyo pimwa Kigamboni nyuma ya utumishi housing mwongozo, Sqm 800 kwa million 16 na sqm 825 kwa million 20 location tofauti.karibuni sana mawasiliano 0712545474
0 Reactions
9 Replies
2K Views
PATA HEKARI 10 KWA MPIGO@ OPPOSITE MANDELA UNIVERSITY..ARUSHA. Shamba linaukubwa wa: -Hekari 10 (49,000M). -Panafikika kwa Gari. -Hapana mgogoro -Tittle deed ipo... -View ya Mlima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Plot for sale at Kariakoo market Size: 250sqm Price:$700,000/=dollar Commission for agent is 5% Title and all document are available. Call 0754 274 238 for view.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Listing no1. Unsurveyed Plot in Wazo Mivumoni Document: Local Government Licence Plot size: 1000Sqm PRICE: 18Milioni Plus Agent Commission: 10% of Selling Price. Direction: Tegeta then WazoHill...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa salasala kina ukubwa wa 28M*20M (560SQM) kiko umbali wa 5km kutoka bagamoyo road, umeme upo na kumejengeka tayari asking price 15M
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamii nawasalimu. Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa. Kiwanja kina hati miliki halali. Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauza plot au viwanja Kigamboni dege nyuma ya magorofa ya NSSF viko viwili kimoja ni 30 kwa 26 bei million 7 kingine ni 30 kwa 40 bei million 7 na heka 1 bei million 23 nna shida zangu kibiashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja mbweni kiwe kina hati, kiwe tambarale na kiwe na ukubwa wa minimum 1000sqm.Whatsapp 0685085378. Budget yangu ni 30m. ukituma na picha itapendeza zaidi kabla ya kwenda kukiangalia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 3,000 kinauzwa Boko basihaya. kina hati ambayo utapewa copy kwenda kuhakikisha matumizi ya eneo wizarani. kiko barabarani na kinafaa kwa filling station au...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau natafuta shamba la kununua kama ekari 40 zikiwa zimegawanyika kama ifuatavyo; Ekari 10 zinazofaa kwa mazao ya bustani na yale karibu na maji Ekari 10 zinazo faa kwa mpunga na ziwe na karibu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Viwanja vimepimwa, havina hati, hati utafuatilia mwenyewe mnunuzi, ukihitaji tukusaidie kupata hati haina shida, vipo puna mbele kidogo ya kimbiji, vipo jirani kabisa na bahari ya Hindi, ukubwa ni...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Kiwanja kinauzwa Iwambi, Mbeya 18m, kina ukubwa wa sq 601, kipo kwenye kona, ni kiwanja kizuri sana!!! Mazungumzo yapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom