Nauza Plots Kibaha(Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 3 kutoka lami Morogoro road(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika...
ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA
UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres).
MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali...
Eneo linauzwa,liko Mivumoni,
Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni!
Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo...
Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza
Bei...
NIC Life House, 2nd Floor, Wing C, Website:www.archco.co.tz
P.O. Box 38694, Dar es Salaam, Tanzania Email.info@archo.co.tz
Tel:+255 22 211 844
Date: 27th February,2024
YAH: MASHAMBA YA KILIMO...
Habari,
Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini
2) Ukubwa? Ekari 100+
3) Umbali toka barabara kuu: 5km
4) Hali yake...
WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million.
ENEO: BUKAGA, KISHIRI
KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17.
NYARAKA: HATI YA MAUZIANO
BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU...
• Direction:
Mogo (Majumba Sita), Old Segerea Road, 1.5 km to Airport
• Structure:
jengo la kuvunja na vyoo vya nje
• Facilities:
upande mmoja flyover na upande mwingine barabara iendayo...
Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo...
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro
Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi
Kinafikika kwa hali zote
Ni kiwanja no 3775
Bei Tsh.2.5m
Njoo Mazungumzo yapo
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mjini Nzega,bei 5m.Kipo Mita 150 toka Rami,Mita 600 toka Stand Kuu ya Mabasi,Ujazo SQM 876,kuna Maji na Umeme.Matumizi ni biashara hususani Lodge/Hotel,Godown...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.