Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nahitaji icho kiyoooo used spare nipo dar niki fix nahitaji kusafiri na vitasa vya surf pia
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Specifications: It’s in good condition Slim <11 inch design Windows 8.1 Pro (64bits) Processors : Intel(R) @ 2.7GHz (Dual Core i3) RAM 4GB HDD 500GB DVD+/-RW Webcam SD Card reader port 3 USB...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1)Nishaifanyia usajili ishapata namba zake 2)Ni used Toka denmark,na nishaifanyia service 3)Ni 2 stroke...cc 50... Naiuza 2,500,000/ ni yangu mwenyewe kwa anayependezewa Piga simu 0715591141...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunapangisha office/Stoo kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa za maonyesho ya sabasaba. Zipo jirani na uwanja wa maonyesho sabasaba na ulinzi wa mali zako upo. kwa mawasiliano.
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Tunauza gravel(kokoto) za kisima kwa bei nafuu Dodoma na pia tunasambaza kwa anaehitaji popote nchini kwa mawasiliano ni 0752779607!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Agiza kutoka China bidhaa mbalimbali ( machines, screens, laptops, phones, vifaa vya electronics nk) kwa bei nafuu, uhakika na ndani ya mda mchache, tufollow instagram @agiza_china Kwa mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba walio Mtwara, Lindi na Pwani wanijuze bei ya zao la ufuta ni ngapi mashambani kwa wakati huu. Natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Anaitajika mtu wa kusafisha dola nyeusi kma wewe una uwezo huo ni dm biashara ifanyike only kwa walio serious
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nipo Arusha town Nahitaji fluke maltmeter kwa shughuli zangu za electronics.
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Habari zenu wadau. Kama kuna mwenye gari anayouza, Allex au Runx namba D (ambayo haijachezewa Mileage) ani pm. Napatikana Dar. Karibuni.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauza dell latitude 6410, core i5, 4gb ram, hdd 320 gb bei 320,000 mahali: Kijitonyama mawasiliano: 0656190449
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ninahitaji kujua bei ya gunia la viazi mviringo maeneo ya njombe,makambako na maeneo mengine vinakopatikana naomba msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
SCREEN 5" AND ABOVE CAMERA 13+ INTERNAL 16GB TECNO W4,W5,C8,CX AIR,HUAWEI,SAMSUNG N.K KWA BEI HIYO
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KARIBUNI MJIPATIE RAMANI BORA KATIKA MFUMO WA PAA LISILOONEKANA AMBAPO UTAPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI KATIKA KIWANGO CHA HALI YA JUU SANA UNAWEZA KUONA BAADHI YA KAZI ZANGU...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121 0624070833
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya kienyeji kutoka...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakulima wengi kwa sasa wanavuna ufuta mashambani, soko zuri la ufuta bado ni changamoto kwa wakulima wengi wa mkoa wa Pwani. Naomba michango yenu, wapi na ni nani ananunua ufuta na kwa bei gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zimetumika hpa hapa mjini sababu ya kuuza ni gari inatarajia kusafir masafa marefu unaenda Kenya then Uganda ndio maana zimevuliwa zipo moroko airtel kama zinavyoo onekana hapo ziko poa sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiwa kwenye mkakati wa kuifanya brand ya "made in tanzania" kuwa ya kipekee kampuni yetu ya if you know you know inakuletea bidhaa mbali mbali kama tshirt, pen, band, wallet, na keyholder kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom