Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza,
Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme...
Used laptop inauzwa, imetumika miezi michache na ina tatizo kwenye kioo. Kioo kilipata hitilafu, kitu cha ncha kali kiligonga. Napatikana Dar, mawasiliano WhatsApp
Habari za Jioni;
Napenda kuchukua fursa hii kuwaalika watu wote wanaopenda kujifunza kutumia fursa zinazoletwa na tehama ili waweze kupata mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital...
Habari wakuu,
Natafuta duka au mtu amabe anaweza kuniuzia hii dawa ya Snow foam kwa ajili ya kuoshea magari. Nilikuwa nanunua pale karcher lakini hawana tena na kila nkiwapigia simu wananambia...
Wakuu habari!
Jamani kama kuna mfanyabiashara yoyote aliyepo Dodoma mjini anaenunua mchele kwa bei ya jumla naomba ani_inbox. Bei 1,700/kg Kuna gunia 200+ za mpunga tunakoboa kwa oda. Aina ya...
Hello
Natafuta wafugaji wa kuku wa kisasa,kwa mwenye uwezo wa kufuga kuanzia kuku 5000 maeneo ya Dar.Tukielewana tufanye biashara.
PM kwa aliye interested.
Asante
Nyumba iwe na
4 to 5 bedrooms
Swimming pool is an advantage
Big yard
Potential Area
Budget ranges from Tsh:400m to 600m
Owners only
Possible viewing mid of July
Locations: Dar na Tanga only...
Habarini wa Dsm mimi nikijana nipo nje ya dar es salaam ila natamani kufanya biashara dar es salaam lakin katika maeneo ambayo siyo ya watu wenye uwezo wa juu ila nataka katika maeneo ambayo kuna...
Fundi urembo wa nyumba napatikana dar Es salam ila popote pare ukiniitaji nafika kwa kazi zaidi na nyumba yake iwe na muonekano wa kisasa zaidi namba 0784142034
BODY UNDER RIGHT NUTRITION
(B. U. R. N)
ONDOKANA NA TATIZO LA
1. Unene na uzito kupindukia
2.vitambi Kwa akina Baba
3.Tumbo Kwa akina mama
4.Manyama uzembe
5.kutoa mafuta mabaya mwilini...
Nipo Dsm natafuta ukumbi unaoweza kuingia watu 100, au Bar/Restaurants iliyofungwa ambayo inaweza ikakodishwa kwa Dsm maeneo ya sinza,mbagala, n.k tafadhari tuwasiliane nami..
PM
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa...
Nipo Dsm natafuta ukumbi unaoweza kuingia watu 100, au Bar/Restaurants iliyofungwa ambayo inaweza ikakodishwa kwa Dsm maeneo ya sinza,mbagala, n.k tafadhari tuwasiliane nami
0625568600
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.