SPECIFICATIONS:
HARD DISK : 500GB
RAM : 4GB
PROCESSOR : 1.60GHZ
BATTERY: INAKAA NA CHARGE MASAA 4
COLOR - BLACK
BEI TSHS: 440,000/= MAZUNGUMZO YAPO
LOCATION : KIJICHI DAR ES SALAAM...
Ndugu zangu Tunsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu asifiwe, Asalaam Aleykum, habari zenu nyote, narafuta ukumbi wa kukodisha unaoweza kubeba watu 100-200 uwe na mazingira mazuri ya kujisitiri (vyoo), pia...
*LIVINGSTONE HOTEL*
Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo*
Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
*LIVINGSTONE HOTEL*
Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo*
Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
Brick tiles ni kama tofali zilizochomwa, ila hizi ni nyembamba ambazo zina mwonekano mzuri na mvuto wa aina yake, zinafaa kunakshi kuta za tv, scatting na kwengineko utakapo ona inafaa ukutani...
Wadau habari za jioni nahitaji kununua blender kwa matumizi madogo madogo tu ya kigheto maana naishi mwenyewe,nilikuwa nahitaji kampuni gani ni nzuri ambayo bei yake aizidi elfu 70
Heshima kwenu wanajamiiforums.
Mimi ni kijana wa kiume, mkazi wa Mbezi Beach B. Ninakuja kwenu kuwatangazia
huduma ya kufundisha wanafunzi wa ngazi ya msingi na sekondari masomo ya
ziada...
Wakuu salaam,
Kifaa tajwa hapo juu kiko sokoni kwa bei ya laki 2 tu. Kinapatikana Dodoma. Ni fridge nzima na haina dosari yoyote, sababu ya kuuza ni dharura tu ya pesa.
Nipigie simu kwa 0687...
Wana JF kuna mzigo ninataka kulipia Kenya. Sasa kuna rafiki yangu ameniambia kuna baadhi ya wafanyabiashara wapo hapa Dar es salaam wana line za Safaricom na huwa wanafanya hii biashara
Yaani wewe...
Habari za Majukumu wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote anaye jua Wanunuzi wazuri wa Korosho Kwa Dar es Salaam, Pwani au Morogoro. Naomba kufahamishwa, ninao mzigo wa kutosha mahitaji mnunuzi serious...
Habari zenu wakuu,naomba mwenye kujua bei za mashine zifutazo anifahamishe na mahali zinakopayikana na za kumenya mpunga
SB 30
SB 50
Bei yake kwa tz wadau
WhatsApp no +255789139153
Habari ndugu zangu
Uzi huu ni maalumu kwa watu wanaotaka kununua vitu nje ya nchi na wanashindwa jinsi ya kuvipata kwa wakati au kuogopa upotevu wa bidhaa yako. Ninakurahisishia kwa kukupa address...
Wapi naweza pata toners za hp (compatibles) za bei rahisi kwa Dar es salaam , au watu wa ku refill lakini waweze kufanya packaging nzuri
Comment hapa au inbox.
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.