Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba kujulishwa kwa Dar naweza kupata wapi hivi vifaa vinavyotumika kwenye restaurants kuhifadhi joto la chakula (food warmers). Nataka inayotumia gas na inayotumia umeme.
2 Reactions
0 Replies
824 Views
Natafuta simu ya kutumia smart nzuri bajeti yngu 200 k niko dodoma
1 Reactions
12 Replies
1K Views
LG 49" LED TV Full HD MODEL EU Series LH510V Screen Size 49 VESA Vesa Size 300x300 DIMENSIONS - WXHXD (MM) Size W/O Carton, W/O Stand (Including SOUND BAR) 1108*657*81.5 Size W/O Carton, With...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
  • Closed
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu. Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wakuu?. Poleni kwa kuwa off-air kwa hizi wiki 3, kiukweli maisha yalikuwa magum bila JF. Ok shida yangu ni kuuliza wapi nitapata mashine ya kutotoresha vifaranga yaan 'incubator'. Nahitaji...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Wakuu nahitaji Modemu Ya Airtel ama Halotel ama Isiyotumia laini yoyote. Nipo Dar
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau wa JF naombeni mnisaidie nijue bei za Simtank za ujazo wa litre mbali mbali. Sana sana natamani kujua bei ya Simtank la litre 5000 (elfu 5). Nitashukuru sana[emoji120]
0 Reactions
5 Replies
6K Views
bila kujali mkoa uliopo tuma requirement zako kwa mahitaji ya: Quality Graphic designs •logos •posters •flyers •banners •stickers •business cards •ID etc website design and development; pata...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Msaada nahitaji kujua sehemu nayoweza kupata vioo vya tv Flatscreen LG na Samsung kwa hapa Dar ikiwezekana na fundi wa kubadilisha.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wapendwa nauza fb page yangu ina watu 21k (zaidi ya watu elfu ishirini na.moja) Karibuni sana jamani nauzia shida tuu nimepatwa na shida mnoo Karibuni wapendwa Ukihitaji njoo pm
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Msaada wakuu kwa hapa dar wapi naweza pata jezi ya ufaransa namba 6 ila iprintiwe jina langu kwa bei poa, ??? (nazungumzia jezi origional)
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nauza karanga mkoani tunatuma,kwa aliyeko dar mzigo ukifika ndipo atalipia,kwa mikoa mingine tunatuma kwanza hela ndio tunakutumia ,WhatsApp;+255789139153
0 Reactions
2 Replies
1K Views
update Not working anymore
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Tanzania Private Investigation Agency (Now changed to T.P.S.C ) is a licensed firm. We provide adequate investigative services from government case work to private investigations. Our staff have...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaotaka kuwekeza kwenye miti wanaweza kuniona mashamba yapo Njombe Lugarawa Ugera.Nauza Shamba lenye miti sh.1,000,000 Kwa eka moja,shamba tupu lakupanda mwenyewe sh.600,000 karibu MAWASILIANO...
1 Reactions
55 Replies
9K Views
Wakuu nauza external haddisk mbili 1 tb na 2 tb transend na seagate zote laki tatu 300000
0 Reactions
3 Replies
570 Views
Natumaini ni wazima,, Nauza bajaji iko mbeya mjini, iko katika hali nzuri haidaiwi chochote na watu wala mamlaka yoyote na haijapigwa rangi. Sababu ya kuamuwa kuiuza ni usumbufu na karaha za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia, 1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake? 2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wataalamu wa techs najua mtanisaidia katika hili,natafuta smartphone iliyo na sifa zifuatazo 1. Memory kuanzia 16 Gb 2. Iwe na quality camera Bajeti yangu ni 300,000-400,000 Tsh Ushauri wenu ni wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu kama uzi unavojieleza, ninatafuta chumba cha kupanga hapa maeneo ya kilwa masoko - Lindi. yeyote mwenye taarifa au mwenye nacho naomba tuwasiliane kupitia 0765-784765 Asanteni
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom