Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu wakuu. Naitaji kupata sehemu kwaajili ya kufungua biashara ya chips Iliyo changamka. Maeneo ni mwenge kawe tangbovu mpaka tegeta.. Tuwasiliane 0759657178
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Ndugu mwenye ndoto ya mafanikio, habari..! Dream Softcopy Books ni wakufunzi na waandishi wa vitabu vinavyohusu ujasiriamali na mpangilio bora wa maisha. Leo tumekuandalia kitabu chenye masomo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu sisi www.one2onefocus.com tunahusika na ujenzi wa garama nafuu kabisa kwa shil mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwil sebule dining public toilet na jiko la kisasa tunatumoa...
14 Reactions
442 Replies
138K Views
SIMU IMESHAUZWA.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Pikipiki iko vizuri haina tatizo!
1 Reactions
16 Replies
5K Views
mwenye xr 250r md 30 tuwasiliane wasap 0786363520
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Bidhaa nimetumika miaka miwili na mwanafunzi. Zipo dar es salaam magari saba karibu na chuo cha St. Joseph 1.Kapeti 2.meza 3.sofa set Bei ya 400,000/= Serios buyer Piga 0718363214
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu, Nahitaji kupata huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia mashine tajwa hapo, Kwa anaemiliki na kutoa huduma hiyo jijini Dodoma, naomba ajitokeze tafadhali ataje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018. Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
0 Reactions
4 Replies
897 Views
KEYBOARDS ZA KILA AINA..............50000 TU Kwa keyboard za nje 80000 TU Kwa eyboard za ndani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanandugu eneo mwanza linauzwa limepimwa ukubwa 40*24, bei 9mil, na jengo hilo likiwepo ,maelewano yapo kama kweli una nia 0757785804
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
naitaji smartphone mdogo wenu apa nna laki moja nikipata Samsung au TECNO lkn sio y 3 au 4 ntafurahi zaidi na kama ina tatzo nambie lolote mapema NATANGULIZA SHUKRANI LOCATION :DAR #YUNGtemper
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu Kama kichwa kinavyosema,kuna ofisi nimepata maeneo ya Charambe viwandani.Sasa nataka nihamie maeneo ya huko,ni sehemu gani sasa nzuri naweza kukaa,ila uswahilini kabisa siwezi. Bei kwa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
mwenye kujua bei za fence na vipimo vyake Tafadhali tujuzane
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji antenna ya startimes nipo moshi Kama unayo njoo pm
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Ndugu wadau natafuta mashine ya kukatia nyama (Meat Saw Cutter) iliyotumika. Aliyenayo anaweza kunijibu kwenye uzi huu au SMS 0752145388
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom