Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
Habari.
Kama Kuna mtu anayo machine ya MAXMALIPO au SELCOM anaiuza basi naomba anicheki kwani Nina uhitaji nayo. Iwe katika hali nzuri kiufundi pia awe tayari kufanya maandisha wakati ananiuzia.
Habari ndugu zangu,
Natafuta ukumbi/Banda la kukodi kwa lengo la kufanya kituo cha maombi na ushauri,napenda liwe na capacity ya ku hold watu 80 mpaka 100, maeneo ya Yombo, Mbagala, Mtoni...
Hello to everyone here, naomba msaada kwa mtu ambaye anaweza akanisaidia mwongoza wa namna ya kupata mashine za selcom na max malipo. Nitashukuru sana kwa mwitikio chanya juu ya ombi langu. Ahsante.
Je unamiliki gari na umeangaika kupata madereva wa uber au wakawaida karibu tuweze kufanya biashara sisi ni association ya madereva ambayo inafanya kazi kwa weredi bila matatizo kwa mawasiliano...
Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na...
Ninauza kiwanja changu kipo vikindu eneo linaitwa kazole kilomita saba kutoka barabara ya lami. Kina msingi wa master na chumba kingine. Yapo matofali zaidi ya mia mbili. Kiwanja kina ukubwa wa...
Mpendwa msomaji wetu, kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019. Tafadhali...
Unakaribishwa kuhudhuria semina ya Aim global & Ujasiriamali itakayofanyika MDI - Nyasaka Centre jijini Mwanza. Upatapo ujumbe huu mjulishe na mwingine. Hakuna kiingilio.
Pia kila Ijumaa...
Tafadhali husika na kichwa cha habari.
Gari mpya aina ya ipsum new model inakodishwa kwa makampuni kwa mkataba.
Gari ipo katika hali nzuri na inabeba watu saba
Kama una kampuni yako na inahitaji...
Wadau
Nina reserve ya kutosha ya hilo jiwe ..naombeni kujua soko lipo wapi???only serious connections here!i!!!
In fact ,Tourmaline gemstone is a semi-precious mineral stone well known for its...
Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
Kwa anae uza gar aina ya spacial new model... 0719921552
Anipigie ..gar iwe katika hali nzur namba B,C na D Pekee A haitakiwi.. Iwe katika hali nzur
Bajet ya muhusika ni 4:5 milion
NIMEPANDISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.