Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wakuu Kuna mambo mengine ambayo huwa hatuyapi uzito sana katika biashara/ujasiriamali japo ni muhimu sana. Jana nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Mbagala na vitongoji vyake na kuona...
8 Reactions
31 Replies
8K Views
Wanajamvi natafuta mtu wa Zanzibar ambaye anaweza kuniunganisha nikapata vile vipikipiki viko kama kobe ambavyo nyuma unafuka katairi huwa wapemba wanaviendesha, kama kuna mtu anajua jinsi ambavyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi Salaam, Nadhani wengi mtajiuliza kwa nn natafutia hapa wakati jiko zipo tele dukani. Jibu hela yangu ndogo,nimeshindwa kumudu bei ya dukani. Hivyo mwenye nalo anifuate inbox tufanye...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Habari zakwakoop wakati huu wanajamvi .. Natafuta mtamba wa miezi saba aina ya Friesian Au arshire anayeweza kuhimili mazingira ya dar es salaam maeneo ya mbezi mwisho( mbezi ya kimara)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hallow, tena Habari kaka wazee na dada. Leo nipo humu naombeni kujua makadirio ya Ruby gram 2 iliyo pure kabisa, kutoka hapa Tanzania ni kiasi gani kwa masoko yetu ya kwetu Tanzania? Naamini...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Jipatie mabati kwa bei ya kiwanda Tuna aina zote za mabati karibu ujionee tofauti kwa bei za kiwandani Migongo midogo za rangi 28gauge 9000/m,30gauge 8000/m Migongo mipana 28gauge 9500/m,30gauge...
2 Reactions
21 Replies
19K Views
Tunatoa huduma za Chakula, Mapambo, Keki, Mc na Muziki ,viti vya kisasa na cover zake pamoja na meza, maturubai kwenye sherehe mbalimbali, harusi,sendoff, kitchen party, kipaimara, ubarikio...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
habari wadau.. kwa wale wote mnaokosa muda wa kufua nguo zenu karibuni mtuunge mkono.. tunafua nguo chafu za aina zote,.. nguo chafu zinafuliwa kwa mfumo wa kufatwa na kuletwa workshop...
8 Reactions
43 Replies
6K Views
ila nahitaji vile locally made kwa hapa Dar naweza pata wapi?au kama unafahamu watu wanaofanya hii nisaidie,nahitaji viti sio chini ya 250.,offer yangu ni 35,000/= kwa kiti kimoja. Viti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau natafuta pikipiki used aina ya Tvs, cc150 au 125, ila napenda zaidi 150cc. Iwe kwenye hali nzuri sana na iwe haijawahi kufunguliwa engine.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wadau Ningependa kufahamu kwa waliopo mwanza Bei ya gunia la mahindi ni Tshs ngapi? Kuna ndugu yangu ana tani kadhaa anataka kuleta sokoni
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza models 2 za earphone za Xiaomi. 1. Mi in-earphone Basic Tsh 20,000 Sealed. 2. Mi Hybrid in-earphone Pro Tsh 50,000 sealed. Both with Mic. Ya majaribio ipo Moja Basic ndio ninayotumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mashine kwa ajiri ya vifurushi,umeme,dawasco,dstv inauzwa bei 300,000/-maongezi yapo.....muuzaji anapatikana kwa 0714260266
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi jamii forum ninahitaji kuku wakienyeji.. Idadi kumi hivi itapendeza.. Mahali napatikana moshi Size ya kati sana sana mitetea Nifahamishe nikufuate leo hii 0622440179 Tsapp...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Visit: YNS.apg-ea.com Call: 0736 937 937 We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
kwa wale wanaohitaji kuandikiwa memorandums za kufungulia kampuni na assitance yoyote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives n.k kwa gharama nafuu kabisa We...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Back
Top Bottom