hello ..kuna fremu ilifunguliwa mahususi kwa ajili ya biashara ya mpesa, tigo pesa na airtel money, mkataba bado haujaisha, iko eneo zuri lenye wingi wa watu haswa nyakati za kuanzia saa 10...
habari wana jamii
nauza laptop yangu nilotumia kwa mda wa mwezi mmoja. aina ya dell
specification RAM 2GB, HARD DISK 160GB, SPEED 2.5, WALANTEE YA MWAKA 1.
bei 250,000/=
nipo dar, mbezi...
Habari wakuu
Simu aina ya Samsung 6 edge inauzwa.
Ina crake kwenye kioo lakini nyembamba sana sana haionekani kwa urahisi. Bei ni 450,000/= maelewano yapo. Rangi ya gold, imetumika miezi 3. Bado...
Wale wapenzi wa unga wa lishe na dona ..unga wa lishe kwa watoto , familia na wazee una vitubisho vyote ni mchanganyiko wa ulezi, mtama, ngano ,mchele, uwele , karanga , mahindi , soya na mbegu za...
Habari wana Jamii, kutokana na hali ya ngu kiuchumi kudorora, nimeamua kuwaangukia wa Tz wenzangu
Nauza Tecno phantom 8 ina miezi 5, haina itilafu yoyote ile, 650000/=
Nipo dsm
0769190996
Inauzwa hyo mashine
Imetumika mwaka mmoja na kuchange toner 3 jumla imetumia toner 5 hadi sasa......
1.2m fixed
haina tatizo lolote la kiufundi
Narudia ni mpyaaaaaaaaa
Ukiitaka ni PM fasta
1.2M
Ninauza mafuta ya nazi yanii pure coconut oil yaliyokamuliwa na machine (colourless kama maji yalivyo ila mazito) kuanzia lita moja kwa sh9000 napatikana Dar karibuni
Sent using Jamii Forums...
Aina ni LG,ukubwa (20 inch) number ni E2041 ni mpya kabisa kutoka kwenye maganda yake, bei ni 180 karibuuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Natafuta laptop ya aina yeyote ile nimeshakula hela ya watu na mteja kaja anataka laptop yake,chakufanya hapa kwa mwenye laptop yeyote ilimradi tu IWE nzima iwake,port zifanye Kazi,Touch Pad...
Device sold is in a new condition FULL BOXED. 32Gb internal, 3Gb RAM, 13MP camera both sides and designed for low light clicks, 4G capability for both sim, 5.5 inch display, color black. 1920*1080...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.