Habari,
Husika na kichwa hapo juu,nauza laptop aina ya Dell latitide D630,ipo kwenye hali nzuri kabisa,tatizo ni kwamba nimeshaitumia tu basi,ila kiufundi hakuna kabisa,ruksa kuikagua hadi...
Habar wana jamv mm nihitaji kuanza biashara ya kuuza sigara kwa JUMLA na rejareja sasa naomba mnifahamishe anayejua hizo bidhaa za sigara kwa JUMLA huwa zinapatikana wapi kwa dar na utaratibu...
Habari, wana jf nafanya kazi ya kufua nguo,kufanya usafi majumbani kuosha vyombo, namfata mteja alipo popote pale kwa maelezo zaid napatikana kwa no 0674030025. Ahsanten
Nyumba nzr mpya ya kisasa inauzwa, ipo Dodoma mjini mbele kidogo ya Africa dream...vyumba 3 self
Bei 95m
Maongezi zaidi au kuja kuiona wasiliana nami kwa :-
0756060183
Kwa yeyote anayejua jinsi ya kuuza marudio ya mchanga wa dhahabu naomba msaada jinsi ya uhuzaji wake,nina Tonne zaid ya kumi(10) sample inaonyesha majibu ya Gold 3.3-4ppm, Copper 330,No sulpher...
Kwa mkopo mrahisi wenye riba nafuu zaidi usio na ubabaishaji wa aina yoyote ndani ya dakika tano ,Tala ndo jibu lako
Cha kufanya ingia playstore kisha pakua app ya Tala Tanzania
Baada ya hapo...
Camera iko vzur sana ni aina ya fujifilm
Inatumia betri ndogo za kawaida, ukitumia rechargeable itakusaidia zaid
Bei 350000
Arusha
Kuna powerbank pia ziko vzur sana capacity ni +20000 zimebaki...
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna...
*Samsung fast charger original*
*Price 10000tsh*
*Zinapatikana Dar es salaam na Dodoma* njoo inbox kwa pics
[emoji338] [emoji338]*0753063142,0653316087,0687418839*
Hiace inahitajika, singalii namba ila body iwe nzuri, ndani kuwe safi sio show imekatika katika, siti zimenyofoka nk, kiufupi iwe na muonekano bora, Injini iwe 3L au 1RZ, ujanja ujanja hauwezi...
Hv kwann wateja wanaopeleka vitu kwa fundi wa electronics kwa mfano tv, redio, dvd, pasi, wakipewa bei wanasema ni kubwa na wakati mwengine usishangae anakwambia kwa dharau hee bora nikanunue mpya...
Habarini wana JF, nina mashudu ya alizeti tani 10 yapo Tabora, Natafuta mtu wa kuja kuyanunua kwa bei Tsh 250/= kwa kilo kwa mawasiliano zaidi
0783552816 and 0746495816
Habari wanabodi,
Juzi nilileta tangazo kwamba tunasafirisha mizigo na parcels kwenda mikoa yote Tanzania na tunauza mchele,
Kwanza nikiri kwamba nilipata simu nyingi sana na watu tuka bargain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.