Wadau nilikiwa naomba kujua mwenye kujua malipo ya msajili laini za tigo anavyolipwa ili na sisi vijana tupiganishe tupate nafasi ilituweze kupata mitaji kwaajili ya kuanzisha biashara
Karanga zilizobanguliwa zinauzwa. Kilo ni shilingi 1,800/=
Zipo Dodoma.
Zipo tani tano, tunauza zote kwa jumla..
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Karanga zilizobanguliwa zinauzwa. Kilo ni shilingi 1,800/=
Zipo Dodoma.
Zipo tani tano, tunauza zote kwa jumla..
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Una mtungi empty uliokamilika wenye kisahani na kidude chake cha kutolea moto, nicheki fasta,
Miham,oil au orex
Price:Tsh 35,000
nafata mwenyewe
Niko dar
For more details
call/sms/wtsp...
Kiwanja kinauzwa sistila makazi mapya kipo sehemu nzuri kimepimwa kina ukubwa wa sq meter 541 kina hati miliki bei mil 10. Kipo sehemu nzuri kipo karibu na shule ya secondary, hospital na soko.
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 *25 sqm kinauzwa eneo la michese Iringa road jijini Dodoma.
bei ni 1.7 milioni na inaweza lipwa kwa awamu.
Eneo lipo km 8 toka city centre na lina huduma zote kama...
Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.