Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na...
2 Reactions
260 Replies
24K Views
Habarini sana wakuu! Samahani, nipo hapa Dar naomba msaada wa kuelekezwa duka au kufahamisha wapi au namna naweza kupata hizi Swiss Gear Backpark. Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Natafuta Laptop Used mtu aniuzue . Iwe kwenye hali nzuri Ram iwe kuanzia 3GB ikiwa 5GB itapendeza . HDD iwe 500GB na kuendelea. Bajeti yangu ni 300k to 250k kulingana na ubora wa PC yenyewe...
0 Reactions
4 Replies
597 Views
Habari wakuu, Jipatie huduma mbali mbali za usafi wa majumbani kutoka kwa wafanya usafi wazoefu na waaminifu. Hii ni maalum kwa wakazi wa Dodoma mjini. Wasiliana nao kwa njia zilizo ktk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salaaaaam wadau, mwenye side mirror ya audi A3 tuwasiliane tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji ng'ombe wa kisasa wa kufuga mwenye uwezo wa kutoa lita zaidi 20 za maziwa. awe na mimba na mwenye naye anijulishe na bei anayouza. Mimi niko Moshi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua bei ya simu tajwa hapo juu anijuze Shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu mm ni mgeni humu kwenye jamvi ninashida ya Ng'ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kutoa lita 15 na zaid.Niseme nimekua ni mfugaji wa ng'ombe wa maziwa hawa wa mchanganyiko wa kienyeji na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu nahitaji redio ndogo za aborder zipo kama subwoofer ila ni ndogo zina spika mbili za nje Mwenye nazo anicheki pm nipo arusha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina eneo lina madin hayo nahitaji kujua soko nataka kuchimba mwenyewe kimya kimya!
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Waheshimiwa nina shamba la Muhogo, lipo eneo la Dundani, kilometa chache kufika Mkuranga. Kwa mwenye fununu juu ya soko. Au kwa anayehitaji plzzzz contact me Wenu Mwali wa Giningi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuku kuchi ni jamii ya kuku wa kiswahili ambao wapo tafauti kimaumbile na kimazingira. Kuku kuchi ni kuku ambao bei zao ni tafauti na kuku wa kiswahili..wapo wanao watumia kwa kupiganisha na...
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Tunauza na kusambaza miche ya miti ya mbao ( mitiki), kwa mikoa ya dar es salaam Pwani na Morogoro, Bei Tsh. 400 kwa mche White teak 500 Pia tunauza miche ya miti ya matunda kama vile miembe...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Habr guyz, kwa yeyote anaehtaj frij la mtumba dogo la mlango m1, kubwa la milango miwili na friza aniPM. Yanapatkana kwa bei ya elf90 mpk laki2. Mazuri na yanadumu muda mrefu. Karibu.. NiPM
2 Reactions
23 Replies
10K Views
wadau hivi tani moja ya mahindi ni sawa na gunia ngapi ? Pia ningependa kujua bei yagunia moja bei miezi hii February 2018 Ahsante
1 Reactions
28 Replies
17K Views
Kama wewe unafanya biashara halafu huna website hapa ndio penyewe. Tunatoa huduma zifuatazo *tengeneza blog na website poja na apps kwa gharama nafuu kabisa *tuna tangaza biashara yako na...
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Back
Top Bottom