Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
] radio ya sony pamoja na meza yake 900,000/= Kitanda na godoro lake 700,000/= Dressing table 200,000/= Air conditioner 450,000/= Kabati la nguo 250,000/= Kabati la vyombo 350,000/= Sofa set full...
9 Reactions
224 Replies
34K Views
Gari nissan tiida inauzwa Bei 4,500,000/- Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/- picha check...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Intel celeron N2840 2.16ghz 4gb ram DDR 3 500GB HDD 1.5gb graphics 5hrs battery Problem touchpad ina wenge Inatumia zaidi mouse ya nje Ila ni nzima kila idala na inafanya kazi vizuri Bei...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Tunauza used laptop za kila aina ya brand kwa bei rahisi kuanzia 250,000/= . Dell,Hp, Lenovo, n.k contact: 0718235364 Kariakoo Pia tunatoa huduma za I.T, Computer & printer repair, cctv camera.
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Ninauza simu hii ninayoitumia Tecno W5 ni nzuri haina tatizo, nauza kutokana na dharura iliyonipata, now bado ni mpya na ni nzuri Bei ni 150,000/= Nioe namba nikupigie
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Welcome to our world, a top supplier of discount INKJET CARTRIDGES, TONER CARTRIDGES for NEARLY EVERY MODEL OF INKJET AND LASER PRINTER on the market today. We offer a complete line of...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Nauza simu yangu mimi mwenyewe tecno camon C9 ambayo niliinunua dukani receipt yake pamoja na box vipo simu haina Tatizo lolote na haijawah kufika kwa fundi. Specifications za simu camera mbele...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, poleni na majukumu, Tafadhalini sana nilikua naomba kuelekezwa mahali ninapoweza kupata mota za mashine za kusaga nafaka kwa hapa Dar es Salaam au kama kuna mtu anazo anijuze hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunaendelea kufanya kazi za uandishi wa miradi.Pia huduma za kutoa mafunzo ya ujasiriamali yanapatikana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada ninahitaji kulima mihogo kwa mwenye adress ya maeneo ya Mkuranga ninayoweza kupata mashamba. Atleast heka 4
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Natafuta feni used. Budget yangu ni 20.000. Tuwasiliane namba yangu ni 0712220207
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Tnauza viwanja maeneo ya Pumwani Kawawa Uchira njia panda na barabara ya Kilema kuanzia mill 4 kwa metre 17.5 kwa 35 mawasilano 0621068486
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wandugu. Well, nahitaji kuchimba kisima katika eneo la Kinyerezi ila kiwe cha maji ya kawaida na wala sio ya chumvi. Sasa naulizia kwa wataalam wa uchumbaji upo utaalam wa kujua maji...
0 Reactions
94 Replies
13K Views
Mwenye subwoofer ndogo kama hiyo used nichek nipo arusha nahitaji budget yangu ni 20000
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Kununua printer pasipo kujua tofauti zake ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia. Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyo fanya kazi namna...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
“Application of EM technology has the potential to contribute significantly to the general improvement in our state of health and to sustain this in a number of ways: by affording greater...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Unasumbuliwa na simu yako tablete ... Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani, Tuna flash na kutoa lock... Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch... Tuna...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau salama, Nina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kuzalisha magari yanayotumia umeme na gesi asilia hapa nchini Tanzania. Natafuta wabia wa kushirikiana nao wanaoweza ingiza mtaji ili tuanze...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Ofa bado inaendelea kama ifuatavyo. 1.Eneo:Michese umbali toka city center:8 km. Ukubwa wa kiwanja:hatua 32 urefu na hatua 34 upana. Hati:Hati ya kijiji na halijapimwa ila Manispaa itapima soon...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Za leo waungwana, kwayeyote anayejua wapi nitapata mtambo mdogo wa Bio gas wa ng'ombe wasio zidi wanne ( Zero grazing system) na CCTV Camera mbili naomba anifahamishe wapi naweza pata na bei zao...
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Back
Top Bottom