Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza fitness tracker brand ya Makibes. Inapima Blood pressure (bp), heart rate (bpm), kiwango cha oxygen katika damu (PO2), hatua ulizotembea (steps counter) na track sleeping time. Ikiingia...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina mpango wa kuchimba kisima cha maji Dodoma nje kidogo ya mji. Naomba kujuzwa gharama za awali, za uchimbaji, na kampuni nzuri ya uchimbaji mkoani dodoma,.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
you are all welcomed to come and learn French
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba mnisaidie upatikanaji wa huduma ya laser hair treatment kwa Dar au Dodoma na gharama yake per session.Na itakuwa vyema ukinisaidia na mawasiliano yao .
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau mbalimbali, salama? Mimi ninafanya utafiti mdogo wa biashara ya utengenezaji wa kandambili za kawaida kabisa, wengi wengi tunatumia ktk namna mbalimbali. Sasa nauliza wataalamu au wenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yuni Company tunafanya utafiti wa maji chini ya ardhi kabla ya kuchimba kisima(geo-physical survey) kwa gharama nafuu kabisa katika mikoa yote nchini, Na pia tunakuunganisha na kampuni ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sim laki 3..300000..ina internal storag ya 32gb Ram ya 2gb Camera 16mp Ni mpya.. Ina uwezo mkubwa sana.. Nipo ubungo usiku..tegeta mchana.. 0713099309 nipo.watsap.pia Bei laki 3 tu. 300000 tu
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari Nipo ubungo DSM,natafuta baiskeli ya kawaida used ninunue bajeti 50000/=
0 Reactions
46 Replies
6K Views
*FULSA FULSA FULSA* Wakazi wote wa Sumbawanga na vitongoji vyake *Sky Traders kutoka Dar es salaam,* inakualika wewe unayetaka kijikwamua kiuchumi na kuongeza kipato. katika mafunzo maalum...
0 Reactions
7 Replies
939 Views
Wana JF, nawasalimu nyote!! Viwanja vinauzwa eneo la Ndurruma Arusha DC. Square Mita ni Square ni 2,500. Umeme na Maji zipo. Karibuni sana. Piga 0786224248.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya ramani za majengo kwa bei nafuu kabisa wasiliana nami kupitia 0653088506
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Joining instruction form five 2018/2019,Lufilyo secondary school halmashauli ya Busokelo,Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya .
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wataalamu nahitaji fundi wa photocopy aina ya Nashuatec sijui inashida gani . Nataka anichekie kiundani zaidi
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Habari zenu wakuu, Naitaji Tsh 90000/= kwa ajili ya kulipia pango,naweka bond baiskeli yangu ambayo ni Tubeless tyres,Nipo Arusha. Tafadhari Naitaji msaada wako.Ni PM
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu natafuta gari RAV 4 old model, Sifa Namba=B/A/C Rangi=nyeupe au silver Mengine majadiliano, bei isizidi 6.5m Niko Dsm Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
885 Views
Jamani samahani kwa usumbufu kwa ANAEJUA jinsi ya kupata mb nyingi kwa laini ya Airtel na halotel anijulishe
0 Reactions
8 Replies
4K Views
liq
0 Reactions
17 Replies
6K Views
wadau sisi ni kampuni ya HZL tunapatikana Arusha AICC tunashughulika na maswala ya trainings za ujasiriamali, customer care, human resource, lugha mbali mbali n.k tunashughulika pia na uandaaji...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama jumbe wangu unavyojieleza hapo juu, please anayeuza gari aina ya subaru forester jaman, aje dm tufanye bashara ila iwe number D. Na iwe kwenye hali nzuri.
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Back
Top Bottom