Habari zenu wadau
Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli
>hutibu saratani
>hutibu ngiri
>hutibu tezi Duke
Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa...
Habarini
wakuu nauza laptop aina ya sony vio kwa 250,000
Specification
Intel pentium
Ram 4gb
Hd gb 500
64 bit
Matatizo
Baadhi ya batani hazibonyezeki ni ya kubadilisha mother board
Betri...
Salaam wana uchumi
Nina gunia zangu 10 za mahindi mkoani kigoma,nataka kuziuza wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao mnijuze bei zimekaaje kwa wakati huu
Asanteni
Samsung j2 Iko katika hali nzuri inauzwa
Ina yafuatayo:
Speed yake ni 1.4GHz
Saizi yake ni inchi tano
Kamera ya mbele ni 5 MP na Kamera ya nyuma ni 8 MP
RAM yake ni 1.5 GB
ROM yake ni 16...
Upimaji wa udongo kwa kilimo bora
Mlingano, Tanga Tanzania
Kwa ukulima bora na wa kisasa tunawashauri wakulima na wawekezaji ktk kilimo kupima rutuba ya udongo ili kujua virutubisho vilivyomo...
Nauza Line za Uwakala
Tigo :200000
Voda :150,000
Airtel : 150000
documents zote zipo.
Bei nilizoweka hapo ni FIXED.
Location: MWANZA.
Kama muhitaji serious karibu PM.
Update : TIGO LINE...
Mwaka : 1999
Cc : 1980
Km : 138122
Petrol
Automatic
Ina4wd
Mahali hilipo :magomen
Gari ipo safi haina shida injini safi gia box safi
Bei : mill 3.85(bei haipungui)
Simu ...
Ndugu zangu kila siku natafuta kitu cha kufanya ili niongeze kopato nilikuwa nakwama kutokana na mazingira niliyopo, nimetamani kwenda chuo kuchukua degree ya ACC. lakini TCU wamekuja na hili la...
Wakuu salama!
Nimekuwa nikitafuta kijana, mchapa kazi mzuri katika kunisaidia kazi za ufugaji wa kuku na Mbwa.
Lakini pia shughuli za kilimo.
Cha ajabu na cha kushangaza vijana wengi wa...
Kwanza kabisa ninauza kitabu cha kujifunza kiingereza nacho kinaitwa
jifunze kiingereza kwa kiswahili.
Playstore sh.10000.(App)
Kwa browser sh 7000.(website)
Kitabu hichi kina topic 4...
Habarini tena.
Wallet nyingine zimekuja za kiume. Ni za PU-Leather. Kwa sasa nina models mbili. Slim wallet na nyingine nene.
Wallet nene zina card slots 8, mfuko wenye zip kwa ajili ya coins na...
Habari wadau;
Ninahitaji msaada kwa ambaye ni dereva wa malori yanayotoka arusha kuja dar yakiwa bodi.
nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha kitanda 5 by6 na godoro pamoja na sofa ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.