Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self Ina sitting& dinning room Ina kitchen na Public toilet Nyumba imeisha bado kufanya finishing tu kama utakavyohitaji wewe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
1 Reactions
43 Replies
2K Views
ARROWS F-04K 💰235,000/= Sideway fingerprint 👎 32GB ROM 3GB RAM CAMERA 🔥 Tupo kariakoo aggrey na ndana Tupigie 0692690033 Karibu Maongezi yapo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninahitaji satellite dish ila liwe na brand name tofauti na DSTV, AZAM, ZUKU AU STAR TIMES. Yani nahitaji liwe la matumizi ya zile FTA Channels. Kama mtu analo jipya au lililotumika ila lipo...
0 Reactions
7 Replies
416 Views
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu. (Maize sheller machine) ✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA) ✓Inapukuchua magunzi saize...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌 ☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook) ☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5) ☑️Laptop &...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
BEI/PRICE:125M⚜️ Contact/☎️ LANDCRUISER 200 SERIES •YEAR:2008 upgraded TO 2010 •ENGINE CODE:2UZ-FE •ENGINE CAPACITY:4,663Cc •FUEL:pETROLEUM •AUTOMATIC TRANSMISSION •LOW MILEAGE •CREAM INTERIOR...
5 Reactions
2 Replies
240 Views
Samsung AC Inverter Samsung Ac AR12TVH (btu 12)........1,350,000/= Samsung Ac AR18TVH (btu 18) .........1,800,000/= Samsung AC AR24TVH (btu 24) - 2,100,000/=* 0713520180
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wemu. Nitakuwa tanga mjini kwa muda wa mwezi 1. natafuta sehemu ya kufikia. Kwa anayefahamu naomba msaada. Mungu awabariki.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Nauza gari yangu aina ya Subaru Forester(Non turbo) ya mwaka 2011. Bei 15m. Gari ipo Dar es Salaam, haina tatizo lolote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0752357722
0 Reactions
3 Replies
520 Views
Basi linauzwa Scania F310 Namba DP Siti 52 Giabox ya gia sita Changamoto Matairi kufunga cylinder head(ilifunguliwa ili kubadilisha gasket) kuweka busta Bei Tzsh 39,000,000/= Ipo Dar...
1 Reactions
0 Replies
263 Views
Habari Wakuu, Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji...
3 Reactions
19 Replies
941 Views
Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
3 Reactions
30 Replies
777 Views
Habari Wana JF, Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba...
1 Reactions
7 Replies
719 Views
Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom