Heri ya mwaka mpya kwa ambao hatujaona toka mwaka jana.
Niko na hii gari hapa inaitwa Mazda CX-5 ni crossover SUV. Ina Engine ni 2.2 Turbo diesel yenye 175HP ina nguvu na mwendo wa kutosha...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana.
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa.
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu...
Habari wakuu,
Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta.
Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro...
🌟 Seeking Credible Company or Individual for Printing College Certificates 🌟
Are you a reputable company or individual with a proven track record in printing academic certificates? We are in need...
Jipatie router kwa matumizi ya ofsin nyumbani na hata kwenye biashara yako, ambayo utapatiwa bure na utalipia laki moja kila mwezi kwa maps 20,na kuendelea hii kwa walioko dsm tu kwa mawasiliano...
🔥VANGUARD MPYA VITI 7 IPO OFISINI, LIPIA IWE YAKO🔥
Km 80,000
Camera
Nyeusi
4WD
Leather
Push 2 Start
Cc 2360
Curtain Airbags
Bei 41,000,000 mpaka Usajili
Piga 0719 989 222
YETU MOTORS...
Habari zenu mabibi na na mabwana! Sisi ni lj adornments store tunauza saa(kike & kiume),cheni(kike & kiume),bracelets(kike & kiume),hereni,smartwatch na vingine vingi.
Bidhaa zetu zimezingatia...
TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD
MAWASILIANO 0711707070
AUDI A4
YEAR : 2013
Stock No: 23/000536
Engine Capacity: 1800CC...
Rosa mpya Toka Japan inauzwa
Engine yake ni 4m50
Chini ni springL
Millage ni 59000og
Ni ya mwaka 2000
Ndani ipo safi kabisa,tv L,friji,full AC .
Ni manual gear,gear 6.Ina siti 29.
Bei ni 52 m tu...
Wauzaji WA kettle na majiko ya gesi ya vioo kwa jumla, kettle bei 102000 ctn, majiko bei 45000 kuanzia pc 4 kwa pc moja jiko bei 65000 location Livingstone na amani karikoo call 0673534254
Habari za wandugu!
Naombeni msaada wakuu.
Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo...
Habari wadau,
Salam kutoka Kilimo Business na Sekretarieti ya Chama cha wakulima wahitimu Tanzania (Tanzania Graduate Farmers Association www.graduatefarmers.co.tz).
Kwa niaba ya sekretatiat ya...
Ng'ombe wa maziwa ni miongini mwa miradi bora saana ambayo ikisimamiwa na kuendeshwa kisasa inatija kubwa na inaweza kukunufaisha na kukukwamua kiuchumi.
Njoo tukuuzie ng'ombe bora wanastahimili...
Hakuna dalali:
Chumba na master yake na baraza nje - 100,000/= kwa mwezi kodi miezi 6.
Nyumba ya vyumba vinne, choo na bafu ndani jiko sebule kubwa, dining baraza kubwa mbili - 250,000/= kwa...
mwenye kujua bei ya vifaa vya mziki, mixer ya njia tatu, spiker,amplyfire, na nyaya zake nataka nianze biashara ya disco na matangazo. pia kama kuna zaidi ya vifaa nilivyo orodhesha anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.