Tunajihusisha na Kufanya SERVICE za vizimia motto ambavyo ni aina zote za
FIRE EXTINGUISHERS[emoji117] [emoji3462]
HYDRANTS[emoji371] SPINKLA
FIRE SYSTEMS ALAM[emoji117][emoji599]
TUNAPATIKANA...
We provide all intelligent solutions for your business, E commerce, management and bring any imagination you have for your business to life!
With 16 years of experience in ICT.
We exceed the...
PATA MALI KATIKA UBORA WAKE, ALIKUWA ANAITUMIA MCHINA, AMEIACHA KATIKA HALI NZURI HAINA DOSARI,
SPECIFICATIONS
Model ya PC: DELL Latitude E6530
Core i5
RAM 6
SSD 232
BEI ni TZS 450,000/= tu, Njoo...
Habari wadau,
Nahitaji frame nzuri iliyoko kwenye eneo lenye mzunguko, au kama ni Eneo la wazi naweza kuweka Container nikatengeneza vizuri nitalipia Kodi ya Eneo lako ila container la kwangu...
Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri
Location: Mwanza
NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
Habari za weekend wana Jukwaa,
Nimelima mahindi mkoa wa Pwani Wilaya ya Chalinze, natarajia kuvuna mwezi huu wa 7. Nitapata zaidi ya magunia 30.
Hivyo nipo hapa kama naweza pata mnunuzi.
Tenki hilo
2000L
Bei 250,000
0744033555
Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji.
hapo lilipo ni la kushusha tu na kuondoka nalo
FURAHA YETU: Ni...
√ Kukuona UNATIMIZA NDOTO YAKO ya kua na kisima chako cha maji safi kwenye eneo lako (nyumbani, shambani, gereji nk)
√ Kukupa MUONGOZO na USHAURI wa namna sahihi ya matumizi...
OFA! OFA! YA LAB COAT [emoji91][emoji91]
Jipatie lab coat za high quality GRADE A kwa bei rahisi kabisa
[emoji117]Material zake ni ile inayong'aa na rahisi kufua.
[emoji117]Bei ni elfu 28 tu na...
Hello Wakuu,
Kwa wale wote wenye mahitaji ya Kontena ama Makontena kwaajili ya kusafirishia Mizigo , Kutengenezea Fremu , Nyumba etc
Karibuni, huu ndiyo uwanja wetu.
Utaweza kupata Containers 20...
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani.
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe...
Mambo vipi wakubwa, mimi ni mgeni hapa Dar es Salaam, ombi langu kwenu ni kufahamu mitaa ya Dar yenye idadi kubwa ya watu wa kipato cha hali ya chini pia inayoweza kusupport biashara ndogondogo...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili...
Mwandege magengeni wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani, boma linauzwa la vyumba vitano,lipo barabara ya mtaa dakika 5 main road bei MIL 8 ukubwa Sqm400.0767600250/ 0674913177
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.